Jinsi ya kupata Mwanamke

Jinsi ya kupata Mwanamke

sisi haturuhusiwi eee bas sawa jion njema
 
na kwa kuongezea badala ya kutongoza mmoja kwa siku tongoza atleast watatu,kwa wiki utakua umetongoza wasiopungua 20, katika hao 20 lazima upate ht watatu au wa 4, kwa stail hyo mapenz hayatakusumbua wala kukuumiza, hehe
 
Mungu akubarikia aceroty,ndoa yangu ni mzigo na sija-date muda mrefu,asante sana.
 
Napita
 

Attachments

  • 1405981955567.jpg
    1405981955567.jpg
    23.5 KB · Views: 239
Nafikili mapenzi ni shule na mwalimu alishakufa. Tunafundishana wenyewe pasipo kuwa na fomula ya kusoma wachache wanafanikiwa na kufaulu huu mtihani mtunzi ni maisha yenu....:banghead:
 
post hii ni kwa ajili ya wanaume tu. Wanawake hamkaribishwi.

Wanaume tumekuwa tukifanya kosa la kuongea na mwanamke mmoja, au kutongoza demu mmoja kwa wakati mmoja.

Wengi wetu huwa tunapendelea zaidi kutambulishwa na marafiki zetu kwa watoto wa kike, au kuwasumbua kwenye mitandao ya kijamii
kama hapa jamii forums, facebook,badoo n.k...

Tatizo ambalo huwa hatulioni ni kwamba, mwanaume kama mimi ninapoamua "kum-pm"demu wa humu mmu, ujue ya kwamba kuna wanaume wengine kama 100 wameshafanya hivyo.

Wanawake wako wengi, na sisi wanaume hatuna tabia ya kuongea na wanawake tusiowajua:wale tunaokutana nao mitaani,kwenye basi la abiria,kwenye migahawa, benki, sabasaba,,shoprite n.k..

Nimekutana na wananume wachache sana wenye uthubutu wa kuongea na demu asiyemjua. Yaani, kwa mfano, niko natembea mtaani na nimwemwona demu aliyenivutia anatembea mwenyewe. Katika hali ya kawaida wanaume wengi huwa wanamuangalia, wanamthaminisha, wachache wana thubutu kwenda kuongea naye na kuomba namba ya simu ili waweze kukutana siku nyingine.

Wengi wetu, sisemi wote, huwa hatufanyi hivyo kwa visingizio eti: "nitamwambia nini", au "kwanini yeye asinifuate mimi", au "akinikataa watu watanionaje"na sababu nyingine nyingi zisizokuwa na msingi. Mwisho wa siku wanaume tunaishia kulalamika wanawake kutuumiza mioyo yetu,
kutokutaka kuwa na sisi kama wapenzi bali kama marafiki(friend zone),kutuomba sana hela n.k...

Matatizo mengi tuliyonayo yanatatuliwa kwa kuwa na demu zaidi ya mmoja.

Demu wako hakutaki? Tafuta demu mwingine.

Mapenzi yake yamepungua kwako siku hizi? Tafuta mwingine atakayekupenda zaidi.

Anakuharibia uchumi wako kwa kukupiga sana vibomu?acha kuhonga, na kama haaachi huo mchezo mwache, tafuta mwingine.

Usipoteze muda wako kuvumilia upuuzi wa mtoto wa kike. Muda huo ungeweza kuutumia kujenga biashara yako, au kuongeza ujuzi katika fani mbalimbali, au kuboresha afya yako. Maisha ni mafupi na kila mtu atakufa.

Mnaweza kujiuliza je nitawezaje kuwa na demu zaidi ya mmoja?

Anza kuongea na demu mmoja usiemjua kila siku. Ukifanya hivyo kwa mwaka ni mademu 365.
Kati ya hao mademu, siyo wote watakutaka, au hata watasimama wakusikilize unachotaka kusema. Wengine wana mabwana zao,wengine hawavutiwi na wanaume, wengi wapo kwenye siku zao, wengi wametoka kutombwa jana na hawana hamu na mwanaume mwingine,na sababu nyingine milioni na ushee.....
Lakini kati ya hao wote,kuna ambao watasimama na kukusikilza.

Kuna ambao watavutiwa na ujasiri wako wa kuongea nao, kuna ambao watakupa namba zao.

Na kuna ambao watakuruhusu uchomeke mboo yako kwenye ------ wake.

Ni kazi yako wewe kama mwanaume kuwatafuta. Usisubirie utambulishwe, au ujiunge na kwaya ya kanisani kwenu ili utafute mchumba wa kuoa.

Uwezo huo unao wewe. Ni kazi yako kutatua matatizo yako na wanawake. Kulalamika katika forum kama hii haikusaidii.

Unauliza utaongea nao vipi?-download hichi kitabu day bang by roosh v. Unaweza ukakipata kwa u-torrent.

Kimeandikwa kwa lugha ya kingereza. Mimi nimekisoma na kimenisaidia. Mimi simjui huyo jamaa aliyekiandika na wala sina uhusiano naye.

Hujui kingereza? Nenda english course. Narudia tena, ni kazi yako wewe kama mwanaume kutatua matatizo yako.

Unauliza hao mademu, marafiki zako, na watu watakufikirijae? Hilo ni tatizo lao. Siyo tatizo lako.

duh mwanangu we kama vile uko kichwani mwangu,,,,bbravo,bravo,bravooo
 
vitundu ndio utamu wenyewe ... ila tafuta hela
mbwa hupata utamu bila hela,maskini vivyo hivyo,faida ya tundu ni pamoja na tundu kuleta mtoto,si tundu kuleta maradhi ,umaskini laana(hasa lile tundu la kutolea :A S wink:upepo) etc
 
duh mwanangu we kama vile uko kichwani mwangu,,,,bbravo,bravo,bravooo

Inaonekana wana wengi wana matatizo na kuwaelewa watoto wa kike . Na wengi wao hawapati ushauri utakaowasadia,au kama wakiupata hawaufuati. Ndio maana kila kukicha utaona post ya mtu analalamika jinsi demu wake alivyomtenda,au mvuto umepungua kwake... Unakuta mwana badala aendele na maisha yake, anaisha kuumiza kichwa chake kwanini chupi fulani haimtaki...
 
Post hii ni kwa ajili ya wanaume tu. Wanawake hamkaribishwi.
.
Nimekuelewa ila nimekuja kwa niaba ya mme wangu....

mitongozo achia watoto wa primary
ooh nimekuzimia nna passion kwako, siwezi kuishi bila wewe bla bla za kitoto kitoto
mi na utu uzima huu uniite mahali uninunulie fanta eti uanze kunitongoza
hivi unaniambia nini hasa?
 
Nimekuelewa ila nimekuja kwa niaba ya mme wangu....

mitongozo achia watoto wa primary
ooh nimekuzimia nna passion kwako, siwezi kuishi bila wewe bla bla za kitoto kitoto
mi na utu uzima huu uniite mahali uninunulie fanta eti uanze kunitongoza
hivi unaniambia nini hasa?

wewe ndio uzima wa maisha yangu, ni kama maji na maua. Naamini Mungu alikuumba kwa ajili yangu, na yangu peke yangu. nikubalie usinikatili kwakusema hapana...(kwa sauti tamu, ya kubembeleza kama nalia vile)
 
hakuna tena SHOPRITE TZ linakuja soko jingine NAKUMATiiii
 
wewe ndio uzima wa maisha yangu, ni kama maji na maua. Naamini Mungu alikuumba kwa ajili yangu, na yangu peke yangu. nikubalie usinikatili kwakusema hapana...(kwa sauti tamu, ya kubembeleza kama nalia vile)
Teh ntakupa jibu moja tu "takko lako"
 
Back
Top Bottom