Naomba kuelekezwa kama kuna mtu anajua jinsi ya kudownload kitabu chochote mtaandaonii au kma kuna njia ya kupata softcopy ya kitabu husika anisaidie au kama kuna website naomba anipe
andika download jina la kitabu, jina la mwandishi na mwaka wa kuchapishwa na mwisho aina ya file unayoitaka. mfano download escrow, kamati ya bunge 2014.pdf
Naomba kuelekezwa kama kuna mtu anajua jinsi ya kudownload kitabu chochote mtaandaonii au kma kuna njia ya kupata softcopy ya kitabu husika anisaidie au kama kuna website naomba anipe
Ingia Download free eBooks at bookboon.com hapo utapata vitabu vingi sana unasign up na wakitoa vitabu vipya wanakutumia kwenye email yako kama vinaendana na wewe unadownload.
Naomba kuelekezwa kama kuna mtu anajua jinsi ya kudownload kitabu chochote mtaandaonii au kma kuna njia ya kupata softcopy ya kitabu husika anisaidie au kama kuna website naomba anipe
every thing kwenye Google.com hakikisha tu una app ya PDF reader or PDF viewer ila app nzur kweny kusomea vitabu ni adobe reader then ukitafuta kitabu chochote kwenye Google start with PDF then jina la kitabu.Google itakupeleka kwenye link tofauti×2 zenye hcho kitabu