Jinsi ya kupata kazi kirahisi

Jinsi ya kupata kazi kirahisi

calyx

Member
Joined
May 3, 2014
Posts
38
Reaction score
8
Kutokana na tatizo la ajira TZ. Nafasi za kazi ni chache kwa upande wa fani za utawala, biashara, utalii na hata uchumi. Ushauri wangu hasa wale wanaenda vyuoni wasome kozi zenye nafasi nying za ajira hasa sayansi kuliko kukazania kozi za sanaa.

Mfn BA. Publc admistration, ambazo ni ngumu kupata ajira kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia. Koz kama biometrix engineering, geodatics, kwa upande wa tz wapo wachache sana na wanatafutwa sana.
 
mkuu kwanza nataka kujua level ya elim yako,huwezi kushauri mtu aliyesoma HKL/HGK adavance eti akienda shule akasome sayance!
 
Hivi bado kuna watu wanawaza kuajiriwa..... hili ni tatizo ngoja na mimi niwe mhasishaji nile hizo pesa zenu........ utajikuta housegirl tu ndo anakuita boss mpaka unakufa..........

NATAKA KUA BOSS
 
utakosaje kazi kama umesomea kazi?

Mkuu unajua unaloliandika ???? Umekunywa viroba asubuhi ???? Ina maana kama umesomea kazi huwezi kukosa kazi ??? Mbona unaongea utumbo mkuu hapa kwa great thinkers ???? Si uende kule kwa watoto wenzio wa fb ????
 
vijana wengi tunatamani kujiajiri tatizo mitaji hakuna bank wanataka hati ya nyumba au gari af unakuta ndo umemaliza tu chuo unapataje mkopo.
 
utakosaje kazi kama umesomea kazi?

Mkuu unajua unaloliandika ???? Umekunywa viroba asubuhi ???? Ina maana kama umesomea kazi huwezi kukosa kazi ??? Mbona unaongea utumbo mkuu hapa kwa great thinkers ???? Si uende kule kwa watoto wenzio wa fb ????

Ona huyu mtumwa wa fikra
 
Anachosema huyu mkuu ni kuwa ukichagua combi rahisi itakupa degree rahisi. Discussion kwa saana na group assigments. Wengine wanakokotoa na kuchora kwa saana na practicals kibao. Unategemea uraiani mfanane. Waapi. Najua kuna watu masomo ya sayansi hayapandi kabisaa. Hao sio ninaowasemesha. Nawasemesha wale wanaojilegeza japo uwezo upo. Vimba upate faida mbeleni.
 
hebu tuondoke hapa huna maana cjuui pombe hzo???? nenda jukwaa la elim mkashauriane na fm 4 wanatafta michepuo hukoo!!!
 
ushauri wa mtoa mada ni mzuri lakini hapa sio mahali pake,angeutoa kwa wanafunzi wa forms one mpaka three afu ujue sasa hv tume ya vyuo vikuu inapangia watu masomo na vyuo vya kusoma inatia hasira sana
 
utakosaje kazi kama umesomea kazi?

Mkuu unajua unaloliandika ???? Umekunywa viroba asubuhi ???? Ina maana kama umesomea kazi huwezi kukosa kazi ??? Mbona unaongea utumbo mkuu hapa kwa great thinkers ???? Si uende kule kwa watoto wenzio wa fb ????

una fikra duni sana ndugu. Huna uwelewa na unachokiongea. Kama ushauri haukuhusu achana nao.
 
Mtoa mada bhana daahhh yani mwehu sijapata kuona

hivi ungeitwa kwenye usaili au mdahalo ungeulizwa swali ungejibu hivi??
 
Back
Top Bottom