Mimi Fulani
Senior Member
- Sep 26, 2013
- 180
- 125
Naomba msaada kwa mtu anayeijua websites ambayo naweza kupata free domain nina blog ya blogspot nataka kuanza kuitumia, hata kama unaweza kunitengenezea domain funguka tusaidiane

jamaa anataka domain name
.
Anhaaa ok atazipata
.
Ila cha msingi ni kuwa makini tu mana kuna nyingine google walizuia nakumbuka kama .cc n.k
.
.cc ni top level na inauzwa labda .co.cc na .co.nr n.k
.
Kiongozi
.cc na .co zote google wali zi ban..
.
CO.CC's General Manager Fights Back Against Google
Naomba msaada kwa mtu anayeijua websites ambayo naweza kupata free domain nina blog ya blogspot nataka kuanza kuitumia, hata kama unaweza kunitengenezea domain funguka tusaidiane
Ndugu acha ubahili.
Mimi nilinunua domain ya .com toka kwa godaddy, kwa Dola 1, inamaana kama 1600/- Tshs tu.
Unanunua kupitia coupon.
Ila kwa bure kabisa sijawai ona aisee!
ivi izo coupon zinafanya kazi huku kwetu kweli? ulishawahi kununua kwa coupon code?