Jinsi ya kupata account ya AdSense kabla ya muda

Mussa2001

Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
59
Reaction score
22
Habarini Wadau,
Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote nina swali hapa kidogo ningependa kufahamu ni Jinsi gani naeza pata acount ya AdSense hata kama cjatimiza vigezo tafadhali kwa anaefahamu
 
dah nunua account ila kufungiwa inakuhusu.. mimi nimenunua account zangu mpya nne za adsense nimezipumzisha.... propellerads na revenuehits unapiga dollar za kutosha bila presha ya kufungiwa hao google adsense hawanihusu kwa sasa.
 
Nipe site zako nichek
 
Hii propellerads mbona inazingua Ku verify account unafanyaje mkuu
 
kwenye propera inabidi uende kwenye template ukaiedit kuna kodi watakupa ukiziweka pale ndo watakutumia messege ya verfication,,na maelezo jinsi ya kuweka izo code search google au propera help center utayapata
 
ku-verify propellerads ni rahisi, kuna code wanakupa kwenye hiyo code unaiweka kwenye open tag ya head ya kwenye template yako.. ukishaiweka una-save, baada ya ku-save unarudi kwenye dashboard ya propellar ku-verify.. ni kitendo cha sekunde 30 tuu ku verify site.
 
Mhhhh

mim propeller imenigomea kbs natumia magrup ya south ila dola sion nafyatua views mpk elfu 11 nikiwa na mood ila dola za mbuz naishia na impression invary mby kbs
 
hua unapata cpm ya ngapi???kuna ufundi wa ku-set matangazo..
 
avarage ni 1-4 sijawah kuzidi hapo fundi ni yup mkuu...ttz ni kuvary kwa impression hapo ndipo pana niumiza na kunikata moood mfano pageview elfu 16000 impression buku 2 hii nisawa mkuuu
 
hapo kuna tatizo.. hiyo cpm ni ndogo sana.. page views 16,000 unatakiwa utengeneze impressions 16,000+++ kwa kuwa kama umeweka matangazo kuanzia 2++ kuna uwezekano lazima moja wapo lita count impression, na pia viewer mmoja anaweza kutengeneza impressions zaidi ya moja, pia kwa sasa kuna matangazo ya kuzuia adblockers.. Swali langu.. je hiyo traffic yako ni real traffic au bot..
 
Hivi mtu unaweza kuwa na account za ads zaidi ya moja kwenye site moja? Kwa mfano uwe na propela na adsense kwenye site moja??
 
hapo kuna tatizo.. hiyo cpm ni ndogo sana.. page views 16,000 unatakiwa utengeneze impressions 16,000+++ kwa kuwa kama umeweka matangazo kuanzia 2++ kuna uwezekano lazima moja wapo lita count impression, na pia viewer mmoja anaweza kutengeneza impressions zaidi ya moja, pia kwa sasa kuna matangazo ya kuzuia adblockers.. Swali langu.. je hiyo traffic yako ni real traffic au bot..
traffic kutoka social network mkuu facebok sana sana sina google mana sijafanya SEO pia sidhan kama itawork mana natumia ads aina 2 pop up na zile za mobile
 
traffic za social media ni nzuri na hazina tatizo.. jaribu kubadili template yawezekana tempalte yako ina generate fake traffic.. pia hakikisha matangazo yako yana-count impressions kwenye devices zote..
 
nijaribu ip mkuu au unarecomend ip kwa wew
 
Hii propellerads nashindwa kuweka zile codes kwenye HTML ya site yangu. Kuna code zingine zipo tayari sasa je nazifuta hizo ndo naweka hizi za propeller?? Maana ninavyojua hizi codes ni muhimu sana ukiziedit unaharibu vitu kwenye site wakuu
 
Alafu kwa uzoefu ipi inalipa vizuri kati ya adsense na propeller?
 
Back
Top Bottom