mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
Sawa mkuuUsikose pia kwenda msikitini kama muislam na kanisani kama mkristo.
Kwa kuongeza, Penda kuangalia movie hasa za Hollywood na taarifa za habari za mashirika makubwa ya nje.Wakuu ninge penda niwe na ufahamu wa mambo mbali mbali, ambayo yata changia kuongeza uwezo wangu wa kufikiri....njia gani nitumie?
Binafsi ninazo zifahamu ni
Kusoma vitabu
Kuangalia documentary
Kufatilia habar
Hii ndo yenyewe mkuu zingatia sana.usisahau kuingia JF mara 20 kwa siku!
tumia unga