Jinsi ya kuongeza spidi ya internet kwenye simu yako

Jinsi ya kuongeza spidi ya internet kwenye simu yako

sasa kwanini usinunue tu router badala ya kuwa na simu mbili
 
Mitandao yetu ya simu mingi imekuwa slow sana hadi inakera. Binafsi sio mtaalam wa mambo ya computer /Ict lakini nimegundua namna ya kuweza kuongeza spidi ya mtandao Kwa kiasi kidogo.

Unahitaji smart phones mbili zenye uwezo wa Hotspot na wifi. Tumia simu moja kuwasha Hotspot(ili irushe data) kisha Tumia simu ya pili kupokea mawasiliano /data Kwa wifi.

Utagundua tofauti ya spidi kulinganisha na kupokea data moja Kwa moja kutoka kwenye mnara.
Hua naitumia sana hii...ni nzuri kwakweli
 
Back
Top Bottom