Jinsi ya kuongeza shelf life ya bidhaa

STRATON MZEE

Member
Jan 4, 2012
59
95
Wanabodi habarini za majukumu. Mimi ni mjasiriamali ambaye nataka nijikite kwenye kuboresha na kupaki bidhaa za vinywaji vya asili kama mbege, togwa, na vileo vya mananasi n.k. changamoto ninayoipata ni kuwa, bidhaa hizi huaribika ndani ya Muda mfupi kama siku moja au mbili. Naomba mwenye utaalamu wa jinsi ya kuongeza shelf life ya bidhaa hizo ili zidumu japo wiki moja au mbili bila kuharibika au kupoteza quality yake. Hata kama Kuna additives ambazo ni halali na hazitobadili uasilia wa bidhaa zenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom