MJUNKI Member Joined May 27, 2013 Posts 65 Reaction score 18 Aug 6, 2014 #1 Wana JF SIM yangu kila baada ya masaa mawili inakuwa kwny safe mode,then apps zote zinapotea kwny display..nikireset inakuwa ok but baada ya 2 hrs inarudia tatizo lilelile..no Samsung NOTE TWO..advice plz
Wana JF SIM yangu kila baada ya masaa mawili inakuwa kwny safe mode,then apps zote zinapotea kwny display..nikireset inakuwa ok but baada ya 2 hrs inarudia tatizo lilelile..no Samsung NOTE TWO..advice plz
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,334 Reaction score 9,294 Aug 10, 2014 #2 Hii huwa ina kera sana hata jamaa wa Samsung hawajui ila huwa inaondoka yenyewe,jaribu kuzima na kuwasha.
Hii huwa ina kera sana hata jamaa wa Samsung hawajui ila huwa inaondoka yenyewe,jaribu kuzima na kuwasha.
D dagii JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 4,959 Reaction score 3,792 Aug 10, 2014 #3 Niuzie mimi