jinsi ya kuondoa netwok lock ktk huawei android devices

mkuu unajua namna ya kuitumia hii miracle? na je ni lazima kua na hardware i mean box lenyewe?
Hiyo ipo cracked haiitaj box mkuu...simu lzma iwe rooted kutoa lock,pia kuna nick doogle nayo nzur...utakuta software kibao humo kweny hiyo link...

Pia tumia YouTube sana kujifunza kuitumia ,ukikwama ni pm
 
haina noma mkuu ngoja niingie chimbo thanx for quick reply
 
Back
Top Bottom