Mwanambugulu
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 683
- 862
Nina shahada mkuu katika maswala ya kodiUna elimu gani? na Ulisomea nini?
Shukrani mkui kwa ushauriPole sana,kwanza mshkur Mungu kwa kila jambo kwasababu wapo ambao hata kitanda hawana ila wanaishi
Muombe Mola sana na usikate tamaa amin hata hao waliopewa bac vimetoka kwake hvy utapata tu uvumilivu na jitihada ndo vinahitajika bila kusahau maombi zaid
Mkuu acha tu hahahaMbaya zaidi zipo nyingi sana, pole mkuu!
Hii kitu sitaki kuisikia kabisa inafanya nisipone vidonda tumbo
Shukrani mkuu kikubwa uzimaKah unapopita ni pagumu sana mkuu ila amini kila jambo unalipitia kila mmoja wetu tumepita huko cha msingi ni matumaini,
Mkuu nina bachelor of taxation from institute of finance management (2014)Qualifications zako plz,jaribu kuweka vitu wazi hapa unaweza pata msaada hata hapa,
Shukrani mkuuMkuu usikate tamaa. Kesho tena amkia kwenye tofali utazoea tu, ila usisahau kutuma maombi kila unapoona nafasi.
Hutateseka muda wote. Muda wako tu haujafika
All the best mkuu. I hope kupitia huu uzi unaweza pia kupata ufumbuzi wa tatizo lakoShukrani mkuu
Fanya hivi
Jisajili kwenye site yoyote ya freelance huku unaendelea kupiga hizo kazi za kitaa mdogo mdogo.
Hapa mwanzo lazima uwe focused
Mamia ya kampuni yanatafuta virtual assistance.
Tumia ujuzi wako kusaidia watu wanaohitaji muda na ujuzi wako.
Watu wanatengeneza $600 - $1000 kirahisi tu kama unajua unachofanya.
Usiwe na lengo la kuwa na chanzo kimoja cha mapato jitahidi uwe navyo hata vitatu.
Usiwazie chapaa mob kwa mara moja.
Kwamfano source number one unaingiza $3
Source number two unatengeneza $2
Source number three $4
Hapo tayari una $9
Hiyo ni Tsh 20,000 kwa siku.
Ukiweza fikia hilo lengo anza kuwa na njaa zaidi.
Tafuta njia nyingine. Hata kama ni kidogo kiasi gani.
If you are best at small things you will be good at large things.
Acha kuwazia hizi kazi za kibongobongo umezoea.
Leo upo kazini kesho boss kakasirika kakufukuza unaanza hangaika na kulaumu life.
Mimi toka nimemaliza elimu uchwara sijawahi omba kazi sehemu yoyote.
Na husle tu.
Nakutakia kila la kheri.