Jinsi ya kuondoa Google account niliyoisahau

posi

Member
Aug 3, 2018
65
26
shukhrani kwa wanajamvi
Mimi shida Yangu ni reset sim Yangu ya android infnix note 4 sasa nilisahau pasword ya e-mail Yangu na sim haionyeshi program wala haiwezi kuonyesha setting nifanyeje wakuu msaada wenu plz
 
nenda google fata njia zote utafanikisha mkuu lakn kama sio mtundu wa hiyo mambo watafute wenyewe.
shukhrani kwa wanajamvi
Mimi shida Yangu ni reset sim Yangu ya android infnix note 4 sasa nilisahau pasword ya e-mail Yangu na sim haionyeshi program wala haiwezi kuonyesha setting nifanyeje wakuu msaada wenu plz
 
Pole sana jifunze kutumia Password ambazo sio rahisi kupoteza.

Mimi natumia jina la babu, baba na bibi upande wa mama na miaka yao ya kuzaliwa pamoja na mwaka wangu. Hata nikae miaka 50 siwezi kusahau.
 
shukhrani kwa wanajamvi
Mimi shida Yangu ni reset sim Yangu ya android infnix note 4 sasa nilisahau pasword ya e-mail Yangu na sim haionyeshi program wala haiwezi kuonyesha setting nifanyeje wakuu msaada wenu plz
Fanya hard reset
 
Back
Top Bottom