Jinsi ya kuondoa Call barring

Jinsi ya kuondoa Call barring

Joined
Jul 1, 2015
Posts
41
Reaction score
14
Habari zenu jamani natumia samsung ndogo lain moja nikaweka call barring ila sasa kila nikijaribu kutoa haitoki inaandika invald password msaada jaman plz mwenye ufahamu pz
ab215fc53114116a152f4d43ae662da3.jpg
 
Mkuu twalib ngonyani
Mbona Umetoa Majibu Hayo Kama Tume Ya Kwanza Na Ya Pili Ya Makinikia
 
We jamaa bhana, ka cm kenyewe hako na bdo unachepuka? Punguza mademu ununue nyngne
 
Mi naona mleta mada kataka kutuchekesha tu na iyo simu Yke ya kamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom