Jinsi ya kuomba transfer shule ya advance mwaka huu

Chronicles

Member
Jul 17, 2016
26
23
Naomba mwenye uelewa wa haya anipe ABC's za kuomba transfer kutoka shule niliyopangwa kwenda kwinginwe.Thank in advance
 
Jafo amesema hakuna kuhama ndugu mpaka akasajiliwe then akae term iishe!
 
Back
Top Bottom