Hahahah hili ni janga..Nimekuwa nikihangaika sana nikinunua simu na charger yake hasa hizi mnazoita smatphone ndo napeta kitu kinacharge 30 min uko 100% ,sasa nikipoteza tuuu ukilaza wangu unaanza ninyanyasa mwanzo nilijidanganya kununua machata makubwa huawei sumsung etc holaaa badae nikahamia kununua za bei kubwa nkapata charger ya infinix wakaniuzia 32,000 kutumia nusu saa inacharge 10% nikaenda duka lingine nikaikuta ile ile charger bei 8,000 tena pungufu naongea ,kichwa kikalia ngwiii nikajua mimi ni kama wale maprofesa wa makinikia (natania) sasa wakali wangu nipeni ufundi nafanyaje kupata charger inayoijaza simu ya smartphone kwa spidi kali '
Hili linatusumbua vilaza wengi najua!
Hata feki inaweza uzwa hivyo mkuu.charger original lazima itakuwa inauzwa zaidi ya 20000 chini ya hapo achana nayo
[emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] mchina ni jangaHiyo ni dalili kuwa mchina ameishika vizuri dunia hasa Afrika nazaidi Nchi yako.
Unajuaje kua simu yako inakubali kutumia fast chargerkuna chaja za aina mbili unazoweza kutafuta
-chaja ya fast charging kama simu yako inakubali
-chaja yenye amps nyingi kwa simu mara nyingi inakuwa 2A
nenda playstore download app inaitwa ampere ukifika dukani test chaja hapo hapo, hakikisha chaja inakupa 1000mA kuendelea ujue ndio nzuri.
zipo chaja za oraimo zinauzwa 8000 Aggrey ni nzuri zinatoa umeme mwingi, though quality yake ni ya kichina.
kwenye official specification za simu wanaandika.Unajuaje kua simu yako inakubali kutumia fast charger