Kuachana kwa amani na mpenzi wako: Njia nane zinazopendekezwa...

Superman achana na POP langu, tarehe ya kwenda kulifungua haijafika bado.

Hadith ndefu sana. Nikiifungua atanishtukia maana ni member wa JF.

Hamna neno Mkuu, ila naona kama Mkono/Mguu unaoza huo. Najua ulifanyiwa Muhimbili. kama vipi vipi tufanye harambee ukatibiwe kule alikokwenda mpiganaji wetu Harrison MwaK.

Duh, huyo jamaa aliyekupiga kibuti na kukurudia yuko humu? Mmmh au mambo ya PoP aliona hayana upako?
 
ila m2 anaeachwa huwa hakubali me mwenyewe nipo kwenye mtihani wa kuacha mtu nilimweleza live kama mwezi sasa toka nimweleze kuwa mimi na yeye basi ila kila siku napata sms zaid ya tano kuomba nimsahe japo sizijibu lakini hachoki!
 
Mkuu unayosema ni kweli. Kuachwa ni shughuli pevu maana lazima upande moja utakuwa bado unapenda. Cha muhimu ni kuwa muachane kwa amani.

Kwa habari ya bibie kama anakuomba msamaha na unaona kuna sababu ya msingi ya kurudiana, si dhambi. In fact atakuwa amepata somo kubwa. Ila ushauri wangu mwache anyooke kidogo. kama na wewe unampenda mpe walau muda wa kutafakari kabla hujafanya move ya kurudiana.

Kwani ilikuwaje Mkuu?
 
Hahahahaaaa. Wakati huo sikuwa na POP!
 
Hahahahaaaa. Wakati huo sikuwa na POP!

Wasiwasi wangu niaje alikuacha? au usije kukuta huyo Daktari pia alibadilisha na Sikio akaweka kuleee . . . maana siko lako hata halionekani . . . . Oops nitarudi: Kuna watu wanahitaji msaada:
flying-superman-returns.jpg
 
Hakuna raha kama ulikua unafikiria kumpiga chini mpenzi halafu kabla hujamwambia anakuja mwenyewe na kusema yeye kachoka na wewe. Inakua "win win" kiaina
 
Mkuu unayosema ni kweli. Kuachwa ni shughuli pevu maana lazima upande moja utakuwa bado unapenda. Cha muhimu ni kuwa muachane kwa amani.

Kwa habari ya bibie kama anakuomba msamaha na unaona kuna sababu ya msingi ya kurudiana, si dhambi. In fact atakuwa amepata somo kubwa. Ila ushauri wangu mwache anyooke kidogo. kama na wewe unampenda mpe walau muda wa kutafakari kabla hujafanya move ya kurudiana.

Kwani ilikuwaje Mkuu?

Ni demu wangu toka kitamba me nipo mbali na yeye kama mwaka hivi nilikuwa sijaonana nae zaid ya kuongea kwenye simu nilipofika jamaa zangu wakawa wananiambia saiz demu wako ni mlevi sana kunajamaa anakuwa nae kila siku wanashinda bar
 
Hakuna raha kama ulikua unafikiria kumpiga chini mpenzi halafu kabla hujamwambia anakuja mwenyewe na kusema yeye kachoka na wewe. Inakua "win win" kiaina

Ni kweli Mkuu, hiyo inakuwa imetulia kabisa. Ila hapo sasa unakuwa ni wewe umeachwa. So kuna ka-pain fulani kadogo lakini hakatakusumbua.
 
Ni demu wangu toka kitamba me nipo mbali na yeye kama mwaka hivi nilikuwa sijaonana nae zaid ya kuongea kwenye simu nilipofika jamaa zangu wakawa wananiambia saiz demu wako ni mlevi sana kunajamaa anakuwa nae kila siku wanashinda bar

nilipo muuliza mwanzo aliniambia huyo m2 sio mpenzi wake ila ni shemeji yake ni mpenzi wa rafiki yake me nikamwambia kuanzia sasa sikutaki coz umekuwa mwongo kama unataka tuendelee nataka unieleze ukweli nilikaa kawa week hivi bila mawasiliano akanitafuta na kuniambia anataka kuniambia ukweli.....
 
Ni demu wangu toka kitamba me nipo mbali na yeye kama mwaka hivi nilikuwa sijaonana nae zaid ya kuongea kwenye simu nilipofika jamaa zangu wakawa wananiambia saiz demu wako ni mlevi sana kunajamaa anakuwa nae kila siku wanashinda bar

Mkuu, pole sana. Ndo shida ya distance hasa kama hakuwa na msimamo. Tena una bahati, ungekuta vidume vimeshamzalisha. Mimi pia yalinikuta hapa navuta pumzi nijipange upya. Ilibidi nijiweke pembeni kuepusha msongamano.
 
Nakuja! Kuna mafuriko mahali nimeombwa msaada wa kuvusha wahanga . . .
Superman_Lois_standup.jpg
 
nakumbuka lile songi ' kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu. Mbaya zaidi kwa yule uliyempenda ye ananenepa, wewe unakonda...kwa mawazo ooh kwa mawazo'

It's not easy kuachana..mimi mara nyingi tumeachana kimya kimya wa x wangu yani penzi linafifia mpaka kufa ila kuna mmoja alinipiga kibuti kitakatifu sitosahau tena mbele ya mwanamke mwingine..wanasema kuwa uyaone ila nilihisi kuzeeka!!..network kichwani ilikata kidogo mana ilikuwa paah kama sikuelewa kilichotokea..leo ni historia laa sitosahau!
 
Eeeh kwahiyo ulikubali yaishe au ulileta kaubaunsa kidogo?
 
nakumbuka lile songi ' kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu. Mbaya zaidi kwa yule uliyempenda ye ananenepa, wewe unakonda...kwa mawazo ooh kwa mawazo'

It's not easy kuachana..mimi mara nyingi tumeachana kimya kimya wa x wangu yani penzi linafifia mpaka kufa ila kuna mmoja alinipiga kibuti kitakatifu sitosahau tena mbele ya mwanamke mwingine..wanasema kuwa uyaone ila nilihisi kuzeeka!!..network kichwani ilikata kidogo mana ilikuwa paah kama sikuelewa kilichotokea..leo ni historia laa sitosahau!

Dunia Kizungumkuti BJ, nilikuwa na wasiwasi sana kuhusu wewe maana ulikuwa umechanganyikiwa kupita kiasi, lakini Mungu ashukuriwe sasa hivi umerudia hali yako ya kawaida.
 
duuhhhh
superman hiyo milolongo mi siwezi..

siku zikitimia nakwambia, na beba mabegi na kuondoka..
muda wa kuremba hamna ..hatutongozani ni tunaachana..

Hiyo ikiwa complicated .. one phone call tunafunga duka..

kuachana = kwaamani mmhhhhh
kuungana= kwaamani..

Hivi kuna amani kwenye kuachana kweli..
 
Kama kulikuwa na mapenzi ya kweli kwa wahusika wote basi kuachana kwa amani ni nadra sana.

Hivi kuna amani gani moyoni ukiambiwa 'pole, najua inauma, utapoa tu'? Ina tofauti gani na kuambiwa 'hakuna jinsi, kubali matokeo'? Au kuambiwa 'sikupendi tena, ninasonga mbele'?

Kuachwa = Kutopendwa = Kutotakwa = Kuchokwa = Kukataliwa = Kumwagwa = Kutoswa = Kubutuliwa = Kuachwa
 
ila m2 anaeachwa huwa hakubali me mwenyewe nipo kwenye mtihani wa kuacha mtu nilimweleza live kama mwezi sasa toka nimweleze kuwa mimi na yeye basi ila kila siku napata sms zaid ya tano kuomba nimsahe japo sizijibu lakini hachoki!

Haya mambo wajameni ni maghumu sana.Mimi mwenyewe niko kwenye harakati hizi za kuachana na gf wangu,najipanga kumweleza lakini napata ughumu sana tu,kwanza niko naye zaidi ya mwaka1 sasa,halafu bila shaka ananipenda sana hivyo natafakari aftermath hasa hasa upande wake itakuwaje.
Ni binti mrembo, ana tabia nzuri anajiheshimu na ananiheshimu sana.Ila pamoja na hayo nimekaa nimetafakari kulingana na muda wenyewe nahitaji kutafuta mke,kuwa na mtu nitakayeishi nae maisha yote.Unajua ukikaa na mtu kwa muda mrefu kidgo unapata muda wa kumjua sana,madhaifu yake,mazuri yake nk.Sasa vivyo hivyo kwa vile ananipenda anakuwa muwazi sana kwangu ikanifanya kufaham everything about her. Nikagundua kuwa pamoja na mazuri yake lakini kuwa mke bado kuna some little details which matters a lot that she comes short.Na hivyo kwa vile naye umri wake unakwenda,yuko chuo ana miaka miwili anagraduate sawa na mimi ingawaje yuko bachelor niko masters na tuko vyuo tofauti.Nimeona sio vizuri kuendeleza haya mahusiano she can raise her hopes up then come the day nakuja kumwambia ikiwa too late ataumia sana....Sasa ishu inkuja hapa ushauri unahitajika tutani jinsi ghani ya kumwambia kwa kutanguliza busara zaidi ili tuachane kwa amani?
 
Hivi na hiki kibuti cha mtu anakaa kimya tu ,No any communication ,ukipiga simu inaita tu,ukituma msg hazipokelewi
Email hazijibiwi ,Mara kila unapomtafuta hapatikani miezi mwaka na miaka inakatika utaendelea kusubiri tu ukijua labda kapatwa na tatizo ama utajua ni dalili za kibuti
Mwisho wa siku unashangaa kumbe jamaa /girl kishaoa/lewa
Hakuna kibuti chenye unafuu.
 
Back
Top Bottom