jinsi ya kumpagawisha mwanaume


asante lara.. mi vya surprise hua vinaniuan haswa vya ndani ya gari.. uuh..
 

Mh!!! Hivi kumbe na sisi tunapagawishwaga.....
 
Mbona hakuoi?

Unaweza kuta we unacheza tu. Huko nje anabebwa wakati wa kutoka kuoga.

we thubutu. rafiki zake wenyewe wanamwambia amekamatika.. hapumuii. yy mwenyewe amediclea
 
Itakuaje kama kunamwenzako nje anampa 0713... Je unadhani atadata kwako.? Mwanaume ukimwambia habari za kukugonga anakuja tu kukupelekea. But kuhusu anayemdatisha anamjua mwenyewe moyoni mwake.
 
Itakuaje kama kunamwenzako nje anampa 0713... Je unadhani atadata kwako.? Mwanaume ukimwambia habari za kukugonga anakuja tu kukupelekea. But kuhusu anayemdatisha anamjua mwenyewe moyoni mwake.

i know him very well. yy pia hafagilii
 
nimekosea ruti jaman njia ya kwenda chit chat iko wapi wapendwa, ooh God help me forget what i have seen here.:shut-mouth:
 
Hii mada ikipelekwa jukwaa la kikubwa nitafunguka ipasavyo. Hapa nitakula ban takatifu Graca

BJ
 
Last edited by a moderator:
Kama hashei Ofisi na mtu, mfuate ukampe cha ufisini!

Mcheleweshe kazini mara moja moja!

Mtegeshee ukiwa unadeki chumbani kwenu, usiwe umevaa lijichupi lkn!

Kukiwa na wageni nyumbani, muite chumbani as if kuna kitu serious; mchojoe na kummyonya kidogo; then mrudi mkawaattend wageni. (cha wizi hicho).

Inatosha, (mume wangu yuko humu humu)! LOL
Ila usisahau kuikalia mkiwa nje kwenye balcon usiku taa zikiwa zimezimwa!
 
Nyie jipashine tu hizo mbinu kisha mshindane wenyewe kujipindua na wanaume waafaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…