SOLVED:
Kuweka application kwa playstore ni one time payment yaani unalipia $25 ambayo ni kama Tsh. 50,000 ili kufunguwa account ambayo ni google console publisher .Ukiwa na hiyo account unaweza upload applications nyingi uwezavyo ilimradi ufuate terms & conditions za google play store.