Jinsi ya kukimbia mizinga, Xmass hiyooo

Jinsi ya kukimbia mizinga, Xmass hiyooo

destiny1

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
249
Reaction score
121
Jacky: Baby nipo Kariakoo kuna gauni nimeiona nimeipenda inauzwa elfu 25,000, ningenunua sema wallet nimesahau nyumbani, pls nirushie M-pesa darling

James:*150# >> tuma pesa >> kwa Jacky >> kiasi 600tshs

Jacky: Baby umekosea? mbona 600??

James: Hapana baby nauli tu, 300 kwenda nyumbani kuchukua wallet na 300 kurudi kariakoo. Vipi ni fupi hilo gauni, linakutait vizuri kale kashape kako kaonekane? maana baby ukiwa kwenye gauni fupi tight unatokaga bomba kweli. cant wait to see you love, kisses!!

Jacky:Mschewwww @%%%@ Arrrghrrrr Kabang!!
 
Kha! Si bure we bidada!......

Mbona maJames huwa wapole lakini, ila kweli huwa wanajifanyaga wajanja fulani hivi
 
Binadamu upenda kushauri wengine ambayo wenyewe yana washinda!

Jacky: Baby nipo Kariakoo kuna gauni nimeiona nimeipenda inauzwa elfu 25,000, ningenunua sema wallet nimesahau nyumbani, pls nirushie M-pesa darling

James:*150# >> tuma pesa >> kwa Jacky >> kiasi 600tshs

Jacky: Baby umekosea? mbona 600??

James: Hapana baby nauli tu, 300 kwenda nyumbani kuchukua wallet na 300 kurudi kariakoo. Vipi ni fupi hilo gauni, linakutait vizuri kale kashape kako kaonekane? maana baby ukiwa kwenye gauni fupi tight unatokaga bomba kweli. cant wait to see you love, kisses!!

Jacky:Mschewwww @%%%@ Arrrghrrrr Kabang!!
 
Jacky ni kichunaji kidogo! Ungenikuta mie Chunaji lenye over 10 years of experiance pangechimbikaaaa!!!!!!

Dear embu twende hapo KKoo nataka nikanunue kigauni, sasa nataka ulithaminishe si wajua tena 300,000/= si mchezo, i realy need ya opinion!

Nimejaribu, kalikubali, Haya dada funga hilo gauni na viatu vyake!!!!

"Tumeeeeee! Deaaaar! Wallet si nimeisahau pale kwako? Sasa itakuwaje baby wangu jamani manake keshalifungaaa?"

Wanaume wasivopenda aibuuuu! Fastaa pesa inatolewa pale, mie mwepesiiiiiiiiiii! MARRY XMASS N A HAPPY NEW YEAR!!!!!
 
Hahaa. Lara Wahedi, yule mchaga wako ana kazi aseee! na jamaa walivyo na mahesabu, Mmhhh!!

hahah unaiangalia hii kama negative thing...huu ndio wakati wakuwagegeda wanawake bwana....kuwa na pesa wee mpe vijipresent muhaidi kumpeleka outing ya ukweli yaani demu bwana udhaifu wao ni care sio love...wewe utawagegeda mpaka basi.
ila kwa wale ambao hawana tactics za kuhakikisha akitoa pesa yake basi lazima agegede naomba asijaribu kabisaaa!!!
 
Kha! Si bure we bidada!......

Mbona maJames huwa wapole lakini, ila kweli huwa wanajifanyaga wajanja fulani hivi

umeonaeee!!! Hawafai MaJames, hata uuunge na kitunguu swaumu, tangawizi na ndimu kumi, lazima utalipata tu shombo lake!!
 
Jacky ni kichunaji kidogo! Ungenikuta mie Chunaji lenye over 10 years of experiance pangechimbikaaaa!!!!!!

Dear embu twende hapo KKoo nataka nikanunue kigauni, sasa nataka ulithaminishe si wajua tena 300,000/= si mchezo, i realy need ya opinion!

Nimejaribu, kalikubali, Haya dada funga hilo gauni na viatu vyake!!!!

"Tumeeeeee! Deaaaar! Wallet si nimeisahau pale kwako? Sasa itakuwaje baby wangu jamani manake keshalifungaaa?"

Wanaume wasivopenda aibuuuu! Fastaa pesa inatolewa pale, mie mwepesiiiiiiiiiii! MARRY XMASS N A HAPPY NEW YEAR!!!!!

James pasua kichwa Lara 1, shost ngoja nikukabidhi tuone kama kweli experience yako ya miaka kumi itakusaidia!!
 
hahah unaiangalia hii kama negative thing...huu ndio wakati wakuwagegeda wanawake bwana....kuwa na pesa wee mpe vijipresent muhaidi kumpeleka outing ya ukweli yaani demu bwana udhaifu wao ni care sio love...wewe utawagegeda mpaka basi.
ila kwa wale ambao hawana tactics za kuhakikisha akitoa pesa yake basi lazima agegede naomba asijaribu kabisaaa!!!

Duh! aisee kuna need ya kuwaletea wadada wa JF mbinu za kuchuna na kusepa bila kugegedwa!! Lara 1 njoo saidia kutoa somo, wameshapanga kula wadada xmass!!
 
kipindi hiki ni kukimbilia zenj mpaka msimu wa xmass uishe,nilikuwa nimesahau hilo ndo mana nashangaa mbona napata msg nyingi za salamu tena za kuvutia toka kwa galz,kumbe kumekucha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom