Jinsi ya kujua simu imetumika mda gani.

Jinsi ya kujua simu imetumika mda gani.

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,950
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]

Habari JF....

Hivi kuna app au any other way ya kujua kua simu imetumika mda gani??? E.g mwaka au miezi flani.

Kwa mfano mtu anakwambia hii simu nimetumia wiki mbili tu,si unajua maneno pekee haitoshi na hata mwonekano wa simu pia hautoshi kuprove hilo.....

Kwa anaejua please anisaidie hapa.

Chief-Mkwawa
 
unaweza kujua imetengenezwa lini, lakini kujua imetumika muda gani ni ngumu,

search simu husika google halafu iangalie kwenye site za specification kama gsmarena na bestmob itakuonesha tarehe ambayo hio simu imezinduliwa
 
duh...sante kwahiyo bora kununua mpya tu...nsije pigwa changa la macho
 
kwa uhakika zaidi ni bora kununua mpya,

pia kuna makampuni kama samsung wana warranty za miaka miwili hivyo unaweza ukanunua ya mwaka 2015 then uka enjoy warranty yako ya mwaka mmoja iliobakia.
anha sante
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]

Habari JF....

Hivi kuna app au any other way ya kujua kua simu imetumika mda gani??? E.g mwaka au miezi flani.

Kwa mfano mtu anakwambia hii simu nimetumia wiki mbili tu,si unajua maneno pekee haitoshi na hata mwonekano wa simu pia hautoshi kuprove hilo.....

Kwa anaejua please anisaidie hapa.

Chief-Mkwawa
speed-meter-5837818.jpg
app hiyo hapo.
 
unaweza kujua imetengenezwa lini, lakini kujua imetumika muda gani ni ngumu,

search simu husika google halafu iangalie kwenye site za specification kama gsmarena na bestmob itakuonesha tarehe ambayo hio simu imezinduliwa
Mkuu manufacturing date ni tofauti na hizo zinazoandikwa kwenye mitandao, kila simu ina manufacturing date yake pekeake, mfano simu inaweza kua imetoka mwaka 2015 lakini units zikaisha kisha mwaka 2016 zikatengenezwa zingine kwa mantiki hii hizi za 2016 zitakua na manufacturing date tofauti na za 2015.

Tukirudi kwa mleta mada kama hiyo simu ni ya Samsung download app inaitwa Phone info Samsung toka Play Store itakuonesha Manufacturing date ya hiyo simu inaweza saidia kukadiria inaweza kuwa imetumika muda gani.
 
ninavyofahamu simu zinatengenezwa muda ule wa kuwa released na pengine miezi kadhaa baadae ila baada ya hapo hazitengenezwi tena bali humalizia tu stock. na kama itatoka version mpya basi hata namba itatofautiana na version ya mwanzo.
 
Uko sahihi mkuu, hapo miezi kadhaa ndio kinatofautisha. Nikupe mfano Samsung Galaxy S4 ilitoka March 2013 ikaingia sokoni April, mwezi December mwaka huohuo nilinunua Samsung Galaxy S4 na ilikua na Manufacturing date ya October 2013 so utaona simu inaweza kua same model lakini ikawa na tofauti ya tarehe ya utengenezaji.
 
hapo kwenye s4 je ilikuwa ni i9500? maana kuna s4 za mwanzo za sd600 baadae zikatoka s4 za 4g na processor za exynos za core 8 baadae mwishoni 2013 zikatoka tena s4 zenye snapdragon 800. zote zinaitwa s4 ila model zake zinatofautiana na manufacturing date pia ni tofauti.

mfano wametoa order nyingi za vioo na order chache za cpu (soc) wakitengeneza simu nyingi cpu zikiisha basi watatumia cpu za sasa na display za zamani kutengeneza model mpya. s4 mpya ilitoka mwishoni 2013 ikiwa na sd 800 sawa na note 3 ambayo imetoka mwishoni, ukija s5 hivyo hivyo s5 ina sd 801 ila s5 mpya iliotoka mwishoni mwa 2014 ina sd 805 sawa na note 4.
 
ni i9505, achana na hizo za exynos wala za Snapdragon 800, wala si GPE au SE.
 
Back
Top Bottom