SODOKA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 1,654 Reaction score 724 Oct 3, 2013 #1 Bandugu mie cjapitia jkt wala mafunzo ya mgambo but naomba mnisaidie nifanyeje kujiunga jwtz,elimu yangu ni graduate 24yrs old
Bandugu mie cjapitia jkt wala mafunzo ya mgambo but naomba mnisaidie nifanyeje kujiunga jwtz,elimu yangu ni graduate 24yrs old
M Maliselo JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 233 Reaction score 30 Oct 3, 2013 #2 subir nafasi za jkt mweza wa 12 tht ts the only way to jwtz kama hauna wa kukushka mkôno kule
SODOKA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 1,654 Reaction score 724 Oct 3, 2013 Thread starter #3 Maliselo said: subir nafasi za jkt mweza wa 12 tht ts the only way to jwtz kama hauna wa kukushka mkôno kule Click to expand... nimekupata mkuu,je nikienda jkt inakuaje?? na kama ningekuwa na wa kunishka mkono ningefanyaje??
Maliselo said: subir nafasi za jkt mweza wa 12 tht ts the only way to jwtz kama hauna wa kukushka mkôno kule Click to expand... nimekupata mkuu,je nikienda jkt inakuaje?? na kama ningekuwa na wa kunishka mkono ningefanyaje??
M Maliselo JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 233 Reaction score 30 Oct 3, 2013 #4 aftr jkt unaweza kua selected kulekule kuingia jwtz kama una vgezo, m2 wa kukushka mkono i mins officer yoyote kule huwa wanapewa nafas za upendeleo kwa ndugu zao so inaweza kua rahc kwako kam utakua nae
aftr jkt unaweza kua selected kulekule kuingia jwtz kama una vgezo, m2 wa kukushka mkono i mins officer yoyote kule huwa wanapewa nafas za upendeleo kwa ndugu zao so inaweza kua rahc kwako kam utakua nae