Jinsi ya kujifariji

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
296
181
Wakuu...kwa hali yangu ngumu ya maisha niliyo nayo...kuna kipindi uwa nakata tamaa kabisa....lakin napowaza kwamba kuna watu wana matatizo zaidi yangu..basi iyo ndo ina kuwa njia pekee ya kunifariji na kunifanya mimi nisonge mbele..naamini Mungu yupo na yote yata pita tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom