Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,899
- Thread starter
-
- #21
Asante kwa mada nzuri sana yaani nimepata kitu
ila no 12 sijaelewa
Alaaaaaaaaaaaah!!!!!!!!!!! Nilifikiri nayo yako.
Dawa yake usile nyama na vitu kama karanga
manake inakutengenezea uric acid.
Tumia kitunguu swaumu kabla ya kulala na kunywa maji ya kutosha.
ok dk.1Mkuu hebu tupige shule kidogo(fafanua) impacts za uric acid katika suala zima la kupanda kwa hasira. Natanguliza shukrani
Cc: Dr. #gorgeousmimi
Ndio kawaida yenu Wamaasai...
Mnakasirishwa na vitu viduchu viduchu...
Dawa yake usile nyama na vitu kama karanga
manake inakutengenezea uric acid.
Tumia kitunguu swaumu kabla ya kulala na kunywa maji ya kutosha.
Mkuu i'm sorry to say this, kuna dalili kuwa huenda ni mtu wa visasi na hili ni tatizo unahitaji ujifunze KUSAMEHE na KUSAHAU. Hebu pita hapa nilieleza kwa kirefu THE POWER OF FORGIVENESS: The power of forgiveness (umuhimu wa kusamehe)
Natumaini itakusaidia.
nasamehe sana mkuu
ila inategemea na kosa
mi sieez lipixa wala kuongea
bali nitalia na sitotaka nikuone tena
kwa mfn kama umenisaliti kama mfano mfano wako hapo jui
MIMI SINA NGUVU YA ARGUE KABISA
KAMA TUPO KWANGU AU KWAKO NITAKWAMBIA NAOMBA UNIACHE KWA MUDA JUST GOO
Aah kwakwel mm nikikasirishwa mpk naonaga kifua chote kimejaa kinataka kupasuka na ili kupunguza hizo jazba zisininyime pumzi bas n lazma niongee mpk nimalize nisikatishwe kati, na kitu nikiwa na ushahid nacho cpendag mtu ajitete.. huwaga mkal sn, nashukuru nmezoeleka hv na maisha yanaenda. Ila leo nmejifunza kitu nitaanza kukifanyia mazoezi soon
Hakuna uhusiano wowote katika kuongezeka kwa uric acid na hasira 🙂 xiexieMkuu hebu tupige shule kidogo(fafanua) impacts za uric acid katika suala zima la kupanda kwa hasira. Natanguliza shukrani Cc: Dr. #gorgeousmimi
Mtoa mada utakuta unatufundisha ila wewe ndo mgomvi mkubwa kwa MUPENZI...
hehehe thnks 4 comments..
Asante nimejifunza kitu mimi nina tatizo anapo nikosea mwenzangu huwa nashikwa na hasira sana.ninapojaribu kumuuliza akianza kuargue kwa kunibishia huwa namwambia siwezi kuargue na simuulizi tena lakin naumia sana kwani naona kama anahisi yeye amekamilika na hapaswi kuambiwa makosa yake so inaweza nichukua hata wiki nzima nikiwa na maumivu moyoni ila kwa hii thread naweza pata suluhisho la tatizo nashukuru sana mdau.