Jinsi ya kujiandaa na mtihani.

Kuna jamaa nilisoma naye, alikuwa anachafua ubao mzima akishusha maths, lakini form alilamba division four na math yenyewe alizungusha
 
Kuna jamaa nilisoma naye, alikuwa anachafua ubao mzima akishusha maths, lakini form alilamba division four na math yenyewe alizungusha


Man hao watu kila darasa wapo, kuna mmoja tulisoma nae alijifanya yeye ndio bingwa wa namba kila jioni lazima abaki shuleni kuwapa mademu tuition ya bure, tulivyomaliza paper kabla ya majibu alikula kona hajaonekana mpaka leo.
 
Halafu diazaini yao lazima wawe na miwani hata kama hawana matatizo ya macho
 
Haya mambo yalimshinda bashite akatafuta short cut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…