Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,786
...
Natumaini utakuwa mzima wa afya, basi kama una hitilafu yoyote kiafya nakuombea kwa MOLA wangu mwenye rahema, baraka na upendo wa dhati kwetu akurehemu na akutunukie afya njema siku zijazo.
Dhima ya kuandaa uzi huu ni kutaka kutoa namna au njia ambayoa vijana tunaweza kuitumia ili kuweza kujiajiri na kufikia malengo ya kimaendeleo kwakuwa kiukweli ajira zimekuwa ngumu sana kipindi hiki
Nitaorodhesha step moja hadi nyingine na kama utazifata kwa ukamilifu na kwa moyo mmoja basi ww mafanikio lazima yacheze upande wako.
STEP 1: Wazo kila kitu kinaanzia kwenye fikra, fikra hizihuwa muda mwingine zinatengenezwa na ujuzi au kipaji ambacho mtu anakuwanacho. Kwa mfano tuseme ww una taaluma ya kilimo then unaweza kutengeneza wazo ambalo litabase kwenye taaluma ya kilimo au kwa mfano wewe unataaluma ya electronics and tellecommunication unaweza kutengeneza wazo la kimaendeleo kupitia taaluma yako hiyo. Pia vipaji vinaweza kuwa chanzo cha wazo lako la kimaendeleo.
N.K:liheshimu na kulithamini wazo lako hata kama ukiwaeleza watu wengine wakalipuuza kwako tayari lina thamani liheshimu na liweke kwenye matendo.
STEP 2: Tengeneza group. Duniani tumeubwa tukiwa na mitazamo na vipaji tofautitofauti yote hiyo ni kwaajili ya kuwezesha kusaidiana katika namna moja ama nyingine,chagua watu ambao wewe unaona mtaendana mtasikilizana na mtaweza kufanikisha wazo lenu kwa mfano mnaweza mkawa ni watu mliosoma wote college moja ua majira n.k weka wazo mezani mlidiscuss na muangalie namna ambavyo mtaweza kulifanikisha.
STEP 3: Donation. Hii itasaidia kwenye kutengeneza myaji mdogo ambao mtaanza nao. kwa mfano tuseme mmetengeneza kikundi cha watu watano then kila mmoja akajitoasadaka akachanga laki 2 then mara tano itakuwa ni milioni moja tayari mnaweza kufanya kitu.N.B Mnatakiwa mkubaliane na hali yenu kwamba mna kidogo na muanzie chini au kidogo mlichonacho.
STEP 4: Production. Hii huwa mimi naiitaga first trial, mnatakiwa muwe waangalifu kwakuwa hii ni mara yenu ya kwanza kuzalisha au kutoa service kuna mengi mtakutana nayo jiandae kisaikolojia na muwe tayari kukabiliana na kila changamoto ili mradi wazo lenu lisimame ili mfikie malengo kwa mfano ku ran out of budget, less responceya ya walengwa au wateja wenu haya yoote yanaweza kutokea msikate tamaa kwa mfano mnaweza mkawa mmeanzisha kilimo then nvua zikawa sio nzuri mnaweza mkaangilia altenative yake.
STEP 4: Marketing. Itangazeni bidhaa au service yenu baada ya kuiandaa au kuiandalia mazingira mazuri,hapa mnatakiwa mjitoe akili na msione aibu itangazeni na muwe tayari kuipresent kwa customers wenu. Kwa mfano let say mmejipanga kuandaa nursery school mnaweza mkatengeneza vipeperushi na mkawa mnavisambaza kwa wahitaji wenu mitaani hii inakuwa kama advertizement ya huduma au bidhaa mnazozitoa au kuziuza
STEP 5:Sales. Hapa mnatakiwa kuwa makini kwani ndio first time mnaingiza bidhaa au huduma zenu sokoni chunguzeni soko likoje kulingana na huduma au bidhaa mnazo zalisha, mnaweza mkaanza kwa bei ya chini ili kutengeneza wateja.
STEP 6: Saving. Hifadhi au tumieni pesa zenu vizuri kwa malengo ya kukuza mtaji wa kampuni au mradi wenu.
STEP 7: Furahia mafanikio. Baada ya kuwajibika kwa kipindi flani na kwa moyo mmoja mtaanza kuona mabadiliko so hapo sasa mtaweza kuanza kuenjoy na kufurahia mafanikio yenu.
Ni hayo tu kwa leo nimebahatika kuwaandalia inawezekana kuna baadhi ya mambo sikuyagusia kwa anaefahamu atayaongezea.
ASUBUHI NJEMA.
Hizi point kuntu nilizitoa mimi....Natumaini utakuwa mzima wa afya, basi kama una hitilafu yoyote kiafya nakuombea kwa MOLA wangu mwenye rahema, baraka na upendo wa dhati kwetu akurehemu na akutunukie afya njema siku zijazo.