Jinsi ya Kuji-introduce katika Interview

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,316
Reaction score
840
Jamani naombeni kujua jinsi ya KujiIntroduce mwenye ni vitu gani vya msingi ktk kujitambulisha mbele ya panel? help afu ntawatonya Konstabo na Sajent lini interview
 
sasa mkuu hiyo ya migration si ni mpaka trh 21 mwezi huu ama??

kwanza si mpaka watoe shortlisted kabla ya call for interview?
 
nibrief bas kwanza jinsi ya KujiIntroduce
 
cha msingi umuulize anaye ku interview uanzie wapi kujieleza.
 
start from currently who are,what you do in current employment how much you success your curent employer and how much did you expect to bring significant contribution to the position your applying now

chemsha akili fanya home. usiwape habari zako za ulisoma wapi au wewe ni mtoto wa ngapi kwa familia yenu
 
1. Who are you??
Means what is your name!!
How old are you!!
Your qualification (education)
Are you employed?? Gusia kidogo.....

2. Then after that!! Other Questions come!!
 
1. Who are you??
Means what is your name!!
How old are you!!
Your qualification (education)
Are you employed?? Gusia kidogo.....

kumbuka kuwa hawahitaji jina lako kwakuwa tayali cv yako wanayo na vyeti vyako wanavyo ivyo wanachotaka ni kujua nafsi yako wewe ni nani na unaufanisi gani . kukujulisha tu kwamba wewe sio jina, mfano mnaweza watu wawili mkaitwa jakaya lakini kila jakaya mmoja ana uwezo wake binafsi.

au unaweza ukaitwa yesu au muhamad lakini usiwe na uwezo wa kiutume
 
duh ww Kweli ni great thinker
I salute u
 
Kama unasema hvyo basi si kila kitu umeandika kwenye c.v hawana haki ya kukuuliza swali lolote maana ushajieleza na they have everything....

Umetaja experience education.. About you...
Sasa sijui utaeleza nini kama ndio mpango huo..

Hv mtu akikuuliza mfano jofrey who are you utamjibu nini???
 
endeleeni basi ku-debate sisi tunawafuatilia kwa ukaribu sana, hapo kwenye red inabidi tufahamisheni vizuri
 
1. Who are you??
Means what is your name!!
How old are you!!
Your qualification (education)
Are you employed?? Gusia kidogo.....

2. Then after that!! Other Questions come!!
Unapoulizwa 'who are you?' the main theme hapo wanapima uelewa na uwezo wako ktk kujieleza wanapima confidence, experience yako kwenye kazi unayoomba, kutaja jina huwa ni formality tu.

Badala ya kuulizwa 'who are you?" unaweza kuulizwa 'Tell us about yoursefl' au 'express yourself'.

Unapoulizwa hivyo usianze kueleza historia ya maisha yako ulizawa lini na wapi hawahitaji hicho ......na usitumie muda mrefu, sana sana dakika 1 au 1 na nusu.

Tell us about yourself......

It's my pleasure to introduce myself.
My name is XXXX, I have completed my B.E........
I have been working xxxx for 3 years,........
I was promoted to ....... and handled large complex xxxxxx
My accomplishments include...........,
I believe my strengths and abilities would contribute to your company's growing success. Thank you.
 
Kama unasema hvyo basi si kila kitu umeandika kwenye c.v hawana haki ya kukuuliza swali lolote maana ushajieleza na they have everything....

Umetaja experience education.. About you...
Sasa sijui utaeleza nini kama ndio mpango huo..

Hv mtu akikuuliza mfano jofrey who are you utamjibu nini???

I am administrative assistant currently im working for UNICEF since 2010 to date. as administrative officer my role include supervising junior staff, ensuring the maintenance of office asset and equipment as well as effecient supply of stationaries to the head office and branches.for the period of four years iam working there i bring significant contribution to make sure the organization play its role to the community effectively; Therefore i would like to discuss how i might be able to do something like that for you.

basi kuanzia hapo utakuwa umebawadilisha interviewer kutoka kwenye interrogation kuwa discussion, yaani sasa mnakuwa hamuulizani bali mnadiscuss na utaona wote wnakutazama kwa kuvutiwa na biashara uliyotangaza.
kwa kifupi unatakiwa SELL WHAT THE BUYER IS BUYING

Kwa heri usitupe chakula kwa mbwa mwitu yatanisaidia mwenyewe kama hamtaki wenzangu. hv vitu hata chuo hufundishwi

hamini usiamini swali likalofuata ni WHY ARE LEAVING YOUR CURRENT JOB NOW. ndipo litakuja la WHAT IS YOUR WEAKNESS AND STRENGTH
 
1. Who are you??
Means what is your name!!
How old are you!!
Your qualification (education)
Are you employed?? Gusia kidogo.....

kumbuka kuwa hawahitaji jina lako kwakuwa tayali cv yako wanayo na vyeti vyako wanavyo ivyo wanachotaka ni kujua nafsi yako wewe ni nani na unaufanisi gani . kukujulisha tu kwamba wewe sio jina, mfano mnaweza watu wawili mkaitwa jakaya lakini kila jakaya mmoja ana uwezo wake binafsi.

au unaweza ukaitwa yesu au muhamad lakini usiwe na uwezo wa kiutume

Broo mfano wako wa mwisho unaonesha jonsi gani ww ni mdini na mtu wa chokochoko.
 
Unapoulizwa 'who are you?' the main theme hapo wanapima uelewa na uwezo wako ktk kujieleza wanapima confidence, experience yako kwenye kazi unayoomba, kutaja jina huwa ni formality tu.

Badala ya kuulizwa 'who are you?" unaweza kuulizwa 'Tell us about yoursefl' au 'express yourself'.

Unapoulizwa hivyo usianze kueleza historia ya maisha yako ulizawa lini na wapi hawahitaji hicho ......na usitumie muda mrefu, sana sana dakika 1 au 1 na nusu.

Tell us about yourself......

It's my pleasure to introduce myself.
My name is XXXX, I have completed my B.E........
I have been working xxxx for 3 years,........
I was promoted to ....... and handled large complex xxxxxx
My accomplishments include...........,
I believe my strengths and abilities would contribute to your company's growing success. Thank you.

Asante sana.....! Umesomela mkuu ntaaply
 
Introduction is so easy what you do, first master you cv even if they already have it .
Starts like this,
thank you for giving me a chance to introduce about myself.
My name is juma mohamed
then come about education touch only the highest level,
then come to your experience, for graduate talk about practical training......
Conclude with personal qualitie(strenghs and weakness) example i am integrity, honesty.....
Thank you once again, Is how am.
hapa wanapima vitu vifuatavyo;
language(english) ability,confidence and ability to express yourself.
 
mkuu we mkareee, kama bado hujapata kazi mi naandamana
 
start from currently who are,what you do in current employment how much you success your curent employer and how much did you expect to bring significant contribution to the position your applying now

chemsha akili fanya home. usiwape habari zako za ulisoma wapi au wewe ni mtoto wa ngapi kwa familia yenu

Mkuu kwa uandishi huu, naomba umuelekeze mleta uzi kwa lugha ya taifa! Hongera kwa kumshauri!
 
Back
Top Bottom