King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
Wakuu habari zenu.Leo nimeleta tena jambo ambalo nina tatizo katika kujua upi ni ukweli katika hili ETI KUNA MADHARA YOYOYE YANAYOWEZA KUJITOKEZA KWA UPANDE WA BATTERY? HASA KIUBORA ENDAPO UTAKUWA UNATUMIA SIMU HUKU UNAICHAJI KWA MUDA MREFU? Mfano mimi nimekua na tabia ya kuitumia simu yangu hasa nyakati za usiku nikiwa nimeichomeka kwenye power source. je ninaweza kuwa naiua betri? na je mfano betri imejaa 100% na nikaendelea kutumia huku ikiwa connected kwenye umeme je hapo nakua natumia umeme moja kwa moja wa AC maana chaji huwa inapowa kabisaa na current inakuwa maintained vilevile100% wakati simu inapiga kazi tena kubwa ya internet. Naomba kufahamishwa kwa wenye uelewa.