Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,510
- 6,893
Itapendeza kama ukinielewesha mishe za shetani hapa dunian yaani anaamka,analala,anasaka mademu,anasaka hela,na hata ikiwezekana kilevi ama vilevi anavyotumiaWanyonge wote wanaishi kama mashetani. Ujamaa ni mfumo wa kuzalisha mashetani, ili mtawala aweze watawala vizuri, ni rahisi kumtawala masikini,mnyonge hawazi chochote nje ya tumbo.Kwenye ujamaa wapatao tabu sana ni wasomi na matajiri.
Achana na mashetani watu! Shetani og halali!Itapendeza kama ukinielewesha mishe za shetani hapa dunian yaani anaamka,analala,anasaka mademu,anasaka hela,na hata ikiwezekana kilevi ama vilevi anavyotumia
Mishe zake ni nyingi sana kiasi kwamba hazijawahi kwisha toka awepo.Afu muasi na mwanamapinduzi naona yana maana ==Achana na mashetani watu! Shetani og halali!
Naskia anamishe Mara elfu nyingi zaidi ya binadamu!
Tena hachoki, kwa sec 1, anaweza kuwa kashafanya mishe hata 3 kubwa.
Shetani sio mwanamapinduzi Bali muasi"
kwa hiyo na shetani anakula mlo mmoja kwa sikuKuishi kama shetani ni kula mlo mmoja kwa siku na mala nyingi utawala unaotaka muishi kama mashetani umafukuza sana watu kazi ili watu hao wakose kula milo mitatu kwa siku
Swadaktakwa hiyo na shetani anakula mlo mmoja kwa siku
Halafu hivi shetani hupendelea kuvaa mavazi gani.Huwa anavaa suruali kama zetu,sketi na vitop vya wadada,kanzu,kaniki,shuka za wamasai au anatembea uchiSwadakta
wadau,
Naomba ufafanuzi kwa ambae anajua maisha ya shetani kwa sasa
Nachokijua mimi ni kuwa shetani ni mwanamapinduzi aliyetupwa Duniani baada ya jaribio lake la kutaka kumpindua mungu kushindwa
Sasa nachotaka kujua ni kuwa toka shetani aje hapa Duniani maisha yake ni yaleyale hayajawahi kubadilika
Halafu hivi eti kuna binadamu hapa duniani wanaishi kama shetani
Naombeni ufafanuzi tafadhari
sasa huyo baba J yeye ana uhusiano gani na shetani mpaka habari za shetani unanielekeza nikamuulize yeyeNenda ukamuulize baba J,au pita Ilala Boma uonane na Bash baby!
Huyo ndyo alisema anataka watu waishi kama mashetani (so he knows how devils live)sasa huyo baba J yeye ana uhusiano gani na shetani mpaka habari za shetani unanielekeza nikamuulize yeye
Au pengine ndiye msemaji wa shetani kiukweli nina hamu sana ya kujua kiundani maisha ya shetani kwa hiyo naomba msinijibu kimafumbo sana
Hakuna Mungu wala shetani.wadau,
Naomba ufafanuzi kwa ambae anajua maisha ya shetani kwa sasa
Nachokijua mimi ni kuwa shetani ni mwanamapinduzi aliyetupwa Duniani baada ya jaribio lake la kutaka kumpindua mungu kushindwa
Sasa nachotaka kujua ni kuwa toka shetani aje hapa Duniani maisha yake ni yaleyale hayajawahi kubadilika
Halafu hivi eti kuna binadamu hapa duniani wanaishi kama shetani
Naombeni ufafanuzi tafadhari