Kinga kingdom JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 769 Reaction score 847 Jan 3, 2018 #1 Nimekaa Hapa ninatafakari mtu anawezaje kuishi kama mashetani? Sababu ya kumfanya aishi Kama shetani ni ipi? Je tukiishi kama mashetani ni faida au hasara ipi italikumba taifa? Je mkuu anenapo Kauli hii hajatuuza kwa mashetani katika ulimwengu wa roho? Am just meditating the statement! Wajuvi wa mambo ya kiroho mnisaidie kudadavua Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Nimekaa Hapa ninatafakari mtu anawezaje kuishi kama mashetani? Sababu ya kumfanya aishi Kama shetani ni ipi? Je tukiishi kama mashetani ni faida au hasara ipi italikumba taifa? Je mkuu anenapo Kauli hii hajatuuza kwa mashetani katika ulimwengu wa roho? Am just meditating the statement! Wajuvi wa mambo ya kiroho mnisaidie kudadavua Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
The Businessman JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 7,397 Reaction score 9,264 Jan 3, 2018 #2 Tafsiri ya mashetani aliyomaanisha mkulu ni mateso(umaskini,shida)
msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,840 Reaction score 6,148 Jan 3, 2018 #3 Nadhani alimaanisha kuishi kama tunachomwa moto.. Kwasababu watu wa dini wanaamini makazi ya shetani ni motoni..
Nadhani alimaanisha kuishi kama tunachomwa moto.. Kwasababu watu wa dini wanaamini makazi ya shetani ni motoni..
M Mwakamele 16 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 1,493 Reaction score 1,114 Jan 3, 2018 #4 Hii kauli haikuwalenga watu kama nyinyi bali wale waliokuwa wanaishi kama Malaika. Lakini pia mheshimiwa nadhani anamchukulia poa" Devo " anadhani shetani ana maisha magumu kama anavyo dhani!
Hii kauli haikuwalenga watu kama nyinyi bali wale waliokuwa wanaishi kama Malaika. Lakini pia mheshimiwa nadhani anamchukulia poa" Devo " anadhani shetani ana maisha magumu kama anavyo dhani!
Gyole JF-Expert Member Joined Sep 20, 2013 Posts 7,008 Reaction score 7,115 Jan 3, 2018 #5 Kwani mashetani wanaishi wapi?
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,287 Reaction score 6,186 Jan 3, 2018 #6 yaani nia ya baba mwenye nyumba ilikuwa kuwakomoa matajiri ila matajiri hawakomoleki wao wanakuja kumalizia hasira zote kwa wananchi wa chini uchumi umekuwa kutoka 7.7 hadi kufikia 6.8 na faida imeshuka kutoka 600 hadi 200
yaani nia ya baba mwenye nyumba ilikuwa kuwakomoa matajiri ila matajiri hawakomoleki wao wanakuja kumalizia hasira zote kwa wananchi wa chini uchumi umekuwa kutoka 7.7 hadi kufikia 6.8 na faida imeshuka kutoka 600 hadi 200
NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,967 Jan 3, 2018 #7 Njoo stendi ya jamatin na stendi ya mkoa Dom ndo utajua ni VIP kuishi kishetanishetan kulivyo
U ustadhijuma JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 3,133 Reaction score 2,118 Jan 3, 2018 #8 kumbe wewe ni miongoni mwa wale waliokuwa wakiishi kama malaika
Kinga kingdom JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 769 Reaction score 847 Jan 4, 2018 Thread starter #9 ustadhijuma said: kumbe wewe ni miongoni mwa wale waliokuwa wakiishi kama malaika Click to expand... Hapana mkuu Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
ustadhijuma said: kumbe wewe ni miongoni mwa wale waliokuwa wakiishi kama malaika Click to expand... Hapana mkuu Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 4,712 Reaction score 11,987 Jan 4, 2018 #10 Nadhani ishi kwa kuloga, kuua, kutesa, kunywa damu za watu na kumwabudu lucifer
Jmujun JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 965 Reaction score 525 Jan 4, 2018 #11 Kiufupi maisha mnayoishi watanzania hata mashetani wana nafuu sana, hata nguluwe anawazid