jinsi ya kuinstall whastapp kwenye laptop

jinsi ya kuinstall whastapp kwenye laptop

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,385
Reaction score
2,851
jamani nahitaji kujua jinsi ya ku install whatsapp kwenye pc inayotumia wondow 7 professional...nilijaribu ku install bluestack ili nitumie kudownload but bluestack imekataa ku install... nifanyaje
 
Tafuta bluestack ambayo ni compatible na hiyo windows au download extension yake kwenye browser unayotumia!!
 
Pakua bluestack zen install kwe pc... Vingine utajiongeza hukohuko
 
Ila bluestack inaweza kuua kompyuta yako mana kompyuta inakuwa nzito sana na scratching nyingi mno. Mimi nilikuwa nayo kwenye kompyuta yangu had nikaamua kuing'oa /unstall.
 
Ila bluestack inaweza kuua kompyuta yako mana kompyuta inakuwa nzito sana na scratching nyingi mno. Mimi nilikuwa nayo kwenye kompyuta yangu had nikaamua kuing'oa /unstall.
kwa hiyo unanishaurije mkuu
 
bluestak nzito sana ... kuna Android emulator nying tu na nzuri .. jaribu KO Player
KOPLAYER
 
Download extension ua WhatsApp kwenye btowser yako...
Itakaa pale juu upande wa kulia na itakuwa installed moja kwa moja utaanza kutumia!
 
Guys ntaweza vp ku activate pc yangu??
Nenda Google download na install kms Pico kwenye pc yako.
Ukiingia kms Pico disable antivirus yako kisha Chagua option ya activate windows, click activate then restart pc yako baada ya activation.Btw, watakuomba password ..huwa ni 12345 kama sikosei(password imeoneshwa kwenye website yao ukiwa Una download)
Process fupi Sana.
 
Back
Top Bottom