Jinsi ya kuimaliza jamii

Jinsi ya kuimaliza jamii

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,484
🔥Ifanye porno kuwa bure

🔥Wafanye watoto wasahau mababu zao (ancestors)

🔥Mfanye mwanamke ashindane na mwanaume katika ndoa

🔥Mfanye mwanadamu azame katika itikadi alioletewa na kusahau utu na utashi aliozaliwa nao

🔥Kufanya vyakula kuwa na vimelea vingi vya kemikali

🔥Mfanye mwanasiasa awe mungu mtu kwa wananchi

🔥Zifanye dini na itikadi kushika nafasi ya Mungu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom