Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,270 Reaction score 29,939 Sep 3, 2015 #1 Wadau Heshima kwenu Naomben msaada wa kuhifadhi baadhi ya Data zangu kutoka kwenye simu kwenda katika Gmail Au kama kuna mtu anajua Application yeyote ya kuhifadhi data plz naomba mnisaidie kwa hili
Wadau Heshima kwenu Naomben msaada wa kuhifadhi baadhi ya Data zangu kutoka kwenye simu kwenda katika Gmail Au kama kuna mtu anajua Application yeyote ya kuhifadhi data plz naomba mnisaidie kwa hili
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Sep 3, 2015 #2 -onedrive -google drive -dropbox