JINSI YA KUHAMISHIA APP. KWENYE PROGRAM FILES( DISC C)

traveller18

Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
27
Reaction score
2
Naomba mjuzi anisaidie ,nataka ku update eurotruck sasa kuna ka program(updater) kana demand nikahamishie kwanza niliko install hiyo game ili niweze update, nikijaribu kuhamisha inagoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
angalia ulipolieka hilo game lako ukishapajua baadhi ya updater mwanzo zitakuuliza hio directory, ikikataa unaweza ipaste kwenye hio directory kisha ukarun tena.

ila kitu kimoja ukumbuke most of time huwa official updaters hazifanyi kazi kwenye pirated games, kama ulichakachua game usitegemee upate support kwa ulie mchakachua. itabidi utafute updater ambayo imechakachuliwa nayo.
 
Nimekusoma ngoja nijaribu tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom