ngayongadaniel
Member
- Sep 29, 2016
- 20
- 8
Naomba kuuliza kwenye UHAKIKI PORTAL -RITA
ukishatuma information inachukua muda gani kupata majibu
Na kwenye kutuma files I mean risit na PDF copy ya cheti , tunatuma kama file moja au tunatenganaisha cheti kivyake na risit kivyake
Msaada pleasw