JINSI YA KUFORMAT MODEM itumie laini zote

JINSI YA KUFORMAT MODEM itumie laini zote

sodeely

Senior Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
190
Reaction score
120
Wakuu!
Nina modem lakini nataka itumie laini zote,nifanyeje?
 
mkuu ni kuflush co kuformat any way kwanz maelezo yako hayajajitoshereza ujaweka aina wala model!!!!!
 
Wakuu!
Nina modem lakini nataka itumie laini zote,nifanyeje?
hembu jaribu kunyoosha maelezo basi ili usaidiwe .naona umeandika post na kusepa watu wanataka kukusaidia huku .mwisho wa siku utaishia kulaaum na kulaani kuwa husaidiwi
 
help to unloack on dic
HUAWEI
model: E1550
MEI.
352965043549342
 
ya kwngu ni
HUAWEI
E153u-2

IMEI 357289043292075
ni ya airtel naomba codes za ku unlock
 
nirahisi coz hata mi nmesha jarib na nimeweza so now furru kubadili lain
 
Back
Top Bottom