Jinsi ya kuflash NOKIA 1280

Jinsi ya kuflash NOKIA 1280

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
861
Reaction score
159
Jamani wadau simu yangu NOKIA 1280 IMEGOMA KUWAKA.INAANDIKA CONTACT SERVICE.TATIZO NI NINI.NAOMBENI MSAADA JAMANI....
 
To flash unatakiwa umwone mtu mwenye dongle(security kit).mwenye uwezi.mwone fundi Selle karibu na sapna kama upo Dar
 
Tizo sio kila ugonjwa wa simu ni mpaka u flash matatizo makubwa ya simu nokia 1280 na 1202 ni contact service na white display.mala nyingi ugonjwa huo huja kutokana simu kudondokewa na aina yoyote ya kimiminika.maji,pombe,chai,mafuta nk. Kama simu yako unahisi itakuwa imedondokewa basi elewa tiba yake sio ya kuflash.
 
tatizo lako linaweza kutatuliwa kwa njia 2 software au hardware ila vizuri kuanza na software kwanza kama upo dar ni pm
 
kiongozi upo?
 
tatizo lako linaweza kutatuliwa kwa njia 2 software au hardware ila vizuri kuanza na software kwanza kama upo dar ni pm

ni kweli mkuu.ndo maana nikamwambia. Sio zote za kuflash.
 
Sawa dk phone na wengineo.ila nimejaribu kuishafisha bila mafanikio.nita ku pm dr phone.mimi nipo tabora
 
Back
Top Bottom