mkuu ... Elewa model ya modem sio service provider wako... mfano voda au tigi... model ya modem n kama huawei e173 au huawei e153..... kujua model ya modem yako soma upande wa nyuma wa modem
modem ndo nini na ikoje maana niliwapigia zantel wanisaidie setting ya simu yangu tecno S9 wakaniuliza modem ya cm nikachemka,nisaidieni
mkuu ... Elewa model ya modem sio service provider wako... mfano voda au tigi... model ya modem n kama huawei e173 au huawei e153..... kujua model ya modem yako soma upande wa nyuma wa modem
> Je ni model gani hiyo modem?
> Umetumia "tool" ipi kufanyia unlocking?
Modem ya voda.
Nimetumia Modem huawei unlocker, pia modem unlocker For E173 and E303.
modem ndo nini na ikoje maana niliwapigia zantel wanisaidie setting ya simu yangu tecno S9 wakaniuliza modem ya cm nikachemka,nisaidieni
Jibu nililo tegemea ni: Modem yangu ni, mfano HUAWE E303 au ZTE MF 190 au ALCATEL X282
>> Ukisema modem yako ni ya voda bado inakuwa haileti maana.
>> Chakufanya - Angalia nyuma ya modem yako iyo sehemu ya kuweka laini soma model hapo kwenye maandishi madogo
Wakuu.
Nimejaribu ku unlock modem yangu ambayo ni used lakini inaniandikia unlock attempting is 0.
Kwahiyo imenigomea kuchakachulika na kuwa universal.
Nifanye ili iwe universal? Au ndio haiwezekani tena?
Shukrani.
Plz, ukikwama, inbox me...
did you do the restoration?Hi, i followed your guide step to step and in every step everything was coming OK and no error or problem till the end where backup was also succesfull and i did not face any problems, when i finally put my airtel simcard it is not detecting network, when i go to diagnosis and network status, it says registration failed. Seems something isn't right, what do i do/