Jinsi ya kuflash modem za vodacom( huawei e303 )

Kuna Huawei E303s , E303 na E303Hilink sasa ni ipi hapo ndio sahihi coz E303hilink haitumii COM port bali ni kama router inatumia IP address 192.168.1.1
I`m pretty sure ukiangalia Title ya thread, utajijibu mwenyewe...:crazy:
 
mkuu, naweza tumia files za 303 ku flash 173?, au kama zipo za 173 naomba unielekeze. natanguliza shukurani
 
Wakuu.

Nimejaribu ku unlock modem yangu ambayo ni used lakini inaniandikia unlock attempting is 0.

Kwahiyo imenigomea kuchakachulika na kuwa universal.

Nifanye ili iwe universal? Au ndio haiwezekani tena?
Shukrani.
 
> Je ni model gani hiyo modem?
> Umetumia "tool" ipi kufanyia unlocking?
 
Wakuu.

Nimejaribu ku unlock modem yangu ambayo ni used lakini inaniandikia unlock attempting is 0.

Kwahiyo imenigomea kuchakachulika na kuwa universal.

Nifanye ili iwe universal? Au ndio haiwezekani tena?
Shukrani.
acha ubahili hiyo imekufa nunua nyingine.
 
ungetaja model ingekuwa poa sana kama ni e303 bac umefika ntakupa tools za kuanlok permanently
 
mkuu ... Elewa model ya modem sio service provider wako... mfano voda au tigi... model ya modem n kama huawei e173 au huawei e153..... kujua model ya modem yako soma upande wa nyuma wa modem
 
Wakuu.

Nimejaribu ku unlock modem yangu ambayo ni used lakini inaniandikia unlock attempting is 0.

Kwahiyo imenigomea kuchakachulika na kuwa universal.

Nifanye ili iwe universal? Au ndio haiwezekani tena?
Shukrani.

Tumia huawei unlock counts reset
 
modem ndo nini na ikoje maana niliwapigia zantel wanisaidie setting ya simu yangu tecno S9 wakaniuliza modem ya cm nikachemka,nisaidieni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…