Jinsi ya kuflash modem za huawei e220 bure

jozzb

Member
Jun 30, 2011
87
20

BAADA YA KUELEZEA JINSI YA KUFLASH MODEM ZA HUAWEI E153 NA VODAFONE ZTE K3570 NILIPOKEA MAONI MENGI KUPITIA KWA WADAU WA JAMI I FORUM NA WALE WA MPEKUZI NA PIA KUPITIA EMAIL YANGU WAKIOMBA NIELEZEE JINSI YA KUFLASH MODEM ZA HUAWEI E220.
LEO NILIKUWA NAANDAA HATUA ZA KUFUATA ILI KUI FLASH MODEM YA HUAWEI E220 ILI IWEZE KUTUMIA LINE ZOTE!!
BAHATI NZURI NIMEFANIKIWA.

SOFTWARE HIZI NIMEZIPATA BURE NA MMIMI NAKUPA BURE,KAMA ULIKUWA NAZO,BASI NI VIZURI ZAIDI
.

UKITAKA MAELEZO PAMOJA NA HIZO SOFTWARE,BASI BOFYA HAPO CHINI

NAOMBA UZINGATIE MAELEKEZO MAANA NI JANA TU NIMEFLASH HUAWEI E220

<<HUAWEI E220 UNLOCKER>>
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom