Jinsi ya Kuflash/chakachua receiver/decoder/king'amuzi.Plz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya Kuflash/chakachua receiver/decoder/king'amuzi.Plz

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by LEGE, Dec 10, 2011.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Wataalam kuna hii ki2 huwa najiuliza sana.
  Ikiwa sim,modem zile ambazo huwa zina2mia line moja wataalam huwa wanaziflush (unlock/chakachua) na kuanza ku2mia line zote.

  Swali langu je kwa receiver ambazo huwa zina2mia kadi haiwezekan kuchakachua nakuanza ku2mia kwa kadi nyingine?? Mfano kadi ya ting ukaitumia kwenye receiver ya dstv na kutazama chanel zitolewazo na ting??

  Au haiwezekan kuflash/unlock/chakachua ukawa unai2mia kama receiver ya free km media com??
  Kama itawezekana si inaweza ikapunguza garama ya kuwa na mareceiver mengi.
  Na kama hayo yote hayawezekan ni kwanin hayawezekan?? Ni ki2 gani kinacho fanya yasiwezekane ikiwa kwenye simu na modem inawezekana!!!

  .......Nawasilisha kwenu wataalam......
   
 2. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Inawezekana lakini ukigundulika watakufungia kila kitu na unaweza kushitakiwa. Halafu jiulize kidogo ungekuwa ni wewe unatoa hiyo huduma halafu watu wakachakachua huoni kama ungepata hasara? Kwa nini ndugu yangu unawaza kuchakachua. Kwa nini unawaza shortcut? Cha kufanya buni mradi wa uzalishaji upate kipato cha kutosha ili ulipie hiyo huduma na si kufikili kuchakachua wenzio.

  Unajuwa! ukiwaza kuchakachua ni dhambi na wizi, mungu hapendi.
   
 3. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,042
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  kama hujui sema ujui. Mbona viongozi watuibia sisi wananchi
   
 4. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sio dhambi! Hakuna noma wala nini, ! King'amuzi umekinunua mwenyewe kwa pesa yako na kwa matumizi yako mwenyewe na risiti ukapawa, huwezi kupangiwa!. Kama ukiamua kukichoma moto ni juu yako, hasara yako! huna sheria ya kumzuia! Ni ruksa kukibomoa na kukichakachua kama unaweza! La msingi usifanye tu biashara ya kuwachakachulia wengine kwa malipo. Wajibu wa watoaji wa ving'amuzi ni kukutafuta na kukulipa ili uwaonyeshe ulivyochakachua ili iwasaidie kuboresha na kuziba mianya kwenye matoleo mapya ya Ving'amuzi.
   
 5. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu kama unaweza hii ishu plz hebu mwaga maujuzi bas kama vip ili watu wajifunze.

  Achana na hizo porojo za dhambi cjui nin??Mbona simu na modem zinaflashiwa na watu wanadunda nazo na hakuna anaye kamatwa??
   
 6. ngosha2011

  ngosha2011 JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  kweli kama kuna m2 ana ujuz,aweke wazi,na mimi nina simu yangu inaniambia LOCK CODE ni NOKIA N73 msaada jamani
   
 7. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  we kama haupo tcra basi ting au startimes coz unawaonea huruma mno while wao wanatuchakachua
   
 8. P

  Paul S.S Verified User

  #8
  Dec 11, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu mimi sio mtaalamu lakini kukusaidia ni kuwa inawezekana kama ving'amuzi vinatumia mfumo mmoja wa urushaji na upokeaji wa mawimbi.
  Mfano unaweza kutumia ving'amuzi vya startimes kukamata baadhi ya chaneli za ting tena bila hata kutumia kadi yao.
  Lakini pia haiwezekani kama wanatumia mifumo tofauti, mfano dstv wanadaka direct kwenye setelaiti wakati startime wanadaka kwenye dish lililopo kisarewe.
  Pia ving'amuzi vinatofautiana sehemu vinapo daka mawimbi(direction) ni lazima liangalie sehemu fulani ndio upate mawimbi na huwezi kupata mawimbi ta setelaiti nyingine hadi ugeuzo ungo
   
 9. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu hapo nimekupata ishu ni kwamba huwa kuna receiver za mtumba ukiiangalia unakuta inauzwa bei ndogo inauwezo mkubwa (strong mp4) na inakuwa inasehem yakuweke kadi hivyo tz kuitumia inakuwa ngumu kdg so ndiyo nilikuwa nawauliza wadau kama kunamaujanja yakuweza kuchakachua kama unaweza tumia kadi nyingine ya kibongo km ya multchois(dstv),ting au easy tv.
  Au kuichakachua na ukawa unatumia kama ftr receiver kama media com.

  Mfano mi ninazo receiver 2 za G tv je siwezi ichakachua ili niwezekuitumia hata kupata free chanel kama itv,star tv,atn,chanel ten,five,capital,mliman,nk
   
 10. s

  sesemejr Member

  #10
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  wajumbe hzo zinaitwa decoder ikiwa ina maana kuna m2 amerusha signal zake zkiwa na noise flan so akizirusha ili utoe ile noise ni lazma utumie kifaa ambacho kinaitambua ile noise zats y ,kila compny ina de _coder zake yan kuztafsir zile code zilizorushwa. so ma self haiwezkan
   
 11. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mim siyo mtaalam wa mambo hayo lakini nahisi inawezekana.Ok mbona kuna chanel ambozo zinalushwa na hudakwa na receiver tofauti??

  Kama haiwezekani ni kwanin haiwezekan?
  Mbona kuna sim na modem huwa zinatoka za kutumia line moja tu lkn kuna wadau huzichakachua na kisha kutumia line zote.
  Kwanin na kwenye receiver/decoder isiwezekane.
   
 12. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Uchakachuaji ni dhambi regardless of .........Tatizo hapa ni un-affordable cost zilizopo, tuwaambie watoa huduma wapunguze bei zilingane na kipato cha mtanzanai anayelipwa Tsh na sio $
   
 13. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usiseme haiwezekani! Ni suala la muda tu. masuala haya ya Technologia we acha tu utashangaa!
   
 14. k

  kuzmich Member

  #14
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :lol: Hana lolote huyo hajui kitu kabaki kusema zambi,zambi tu kama yeye mtakatifu wa Roma.Hii inawezekana kwa 100% hakuna cha DSTV wala king`amuzi gani cha bongo. Nitafute kkilonzi@hotmail.com Пусть все узнает можна
   
 15. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu tumwagie hayo maujuzi basi hapa jamvin .
   
Loading...