Jinsi ya kufika Regency hospital

kituli one

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
408
301
Waungwana,

Kesho unatarajia kwenda REGENCY hospital,ila sipafahamu,naomba kuelekezwa kutokea Ubungo unapanda daladala zipi zitakazonifikisha huko REGENCY.
 
Regency iko nyuma ya makao makuu ya umoja wa vijana wa ccm.

Kama alivyoandika mdau hapo kabla, panda gari zinazoenda posta,kama ukiwa unatokea barabara ya morogoro(yaani kimara,mbezi,ubungo,manzese nk) shuka kituo cha fire au akiba(chuo cha cbe na dit) kisha tembea kidogo au ulizia mtu hapo jirni atakuobyesha.

Kama unatokea huku mwenge au makumbusho panda gari za stesheni shuka akiba ulizia iko jirani hapo.

Kama unatokea mbagala panda gari za posta utashuka stesheni tembea kwa mguu au chukua bodaboda,ukitokea gongo la mboto panda gari za posta zitakushusha mnazi mmoja, ukishuka panda uda za posta feri shuka akiba au unaweza kutembea kutokea mnazi mmoja sio mbali pia.
 
Ahsante sana ndugu yangu
 
Panda gar za kwenda posta shuka fire ,halaf tembea moja kwa moja karibu na taasisi ya technolojia dar es salaam then kunja kushoto utapaona regency ,au ukikaribia dit (taasisi ya technolojia dar es salaam) ulizia regency ilipo utaonyeshwa
Ahsante sana
 
Back
Top Bottom