Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Very simple Just bonyeza sehemu iliyoandikwa Print screen (PRNT SCRN)
Halafu ingia Kwenye PAINT program utaona sehemu ya kushoto juu Pameandikwa PASTE bofya utaona screenshot yako
mbona nimefanya hivyo haijatokezea au inakuwaje mkuu
mbona nimefanya hivyo haijatokezea au inakuwaje mkuu
Yeah... Kwangu imekubali. Je kwenye simu wakuu tunafanyaje??
Yeah... Kwangu imekubali. Je kwenye simu wakuu tunafanyaje??
unatumia windows gani?
Fuata maelekezo hapo juu.
Unapobofya kitufe cha printsceen
Fungua programu ya paint
Alafu paste.
Umekwama wapi?
Fuata maelekezo hapo juu.
Unapobofya kitufe cha printsceen
Fungua programu ya paint
Alafu paste.
Umekwama wapi?
Very simple Just bonyeza sehemu iliyoandikwa Print screen (PRNT SCRN)
Halafu ingia Kwenye PAINT program utaona sehemu ya kushoto juu Pameandikwa PASTE bofya utaona screenshot yako
kwenye hiyo Blackberry Z10 yako
shikilia
Volume up na Volume down Buttons !
Kwapamoja alafu achia!
Wewe mie situmii BB bana, saiv nina ZTE
View attachment 151762
Je unaona hiyo PrtSc button? Kuna baadhi ya laptop ukibonyeza tu hiyo unapaste screenshot yako. Kuna nyingine kama Toshiba ni mpaka utumie Fn+PrtSc
Asante