Jinsi ya kuendela kua maskini

Jinsi ya kuendela kua maskini

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,054
Reaction score
3,263
JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI

1.Usiamke mapema.

2. Usipange matumizi ya Pesa zako.

3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri.

4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi.

5. Usifikirie kuanzisha biashara mpaka malaika akishuka kutoka mbinguni na kukukabidhi mtaji.

6. Endelea kuilahumu serikali na wazazi ambao hawakukupa Elimu.

7. Tumia Pesa nyingi kuliko kipato chako.

8. Hakikisha unaenda na fashion. Kila toleo jipya la nguo, viatu, simu lazima na wewe ununue.

9. Wanunulie watoto wako chochote watakacho kuomba.

10. Endelea kutumia muda mwingi zaidi kwenye social networks. Kama Whatsapp, Facebook na Instagram negatively
 
Kweli mkuu hii ni mbolea nzuri sana katika kurutubisha na kustawisha umasikini wako
 
11. Endelea kusubiri mpaka watakapoleta mgao wa makinikia ili upate mtaji.
12. Endelea kufikiri kila biashara inahitaji mkopo au mtaji mkubwa ili kuanzisha.
 
acha kukariri umaskini au utajiri upo kwenye akili yako maisha hayana formula life is unplanned tumia muda uliopo vizuri that's all.
 
Tunaongezea nyama Uzi
11:Endelea kuwachukia matajiri
12:Endelea kuwasema waliofanikiwa ni masoc
13:Endelea kusubilia hela ya peshen ya babaako
Mengine wataongezea wengine
 
Back
Top Bottom