Jinsi ya kudownload Free Application From Ovistore to ur PC ni rahisi sana na haiitaji ku Hack wala nini!!!
Wengine watasema kwann udownload kwa PC, Jibu ni kwamba sometime kudownload kwa simu iko slow na pia unamaliza pesa bure wakati una internet kwenye PC yako na bureee na haraka zaidi
Here is How!!!!
Note* This is not a hack just a tip. Plus only free apps can be downloaded.