ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,996
- 61,227
Mkuu dunia ya Sasa mambo mengi inakuwa ngumu kuyafanya kwa Siri.. otherwise uwe unanunua pombe halafu unakunywa chumbani kwako kitu ambacho NI kigumu mtu unahitaji uka socialize na watu wengine bar huko ukachome na nyama kidogo Sasa hio ndo kitu naambiwa mtumishi hatakiwi kuwa mlevi..me naona haiwezekani kunywa chumbani.Kwanza kila ofisi wanakuwa wamo kwa kazi maalum pia unatakiwa maisha yako yawe private unapofanya mambo kwa kujichoresha inakufanya hata usifikiriwe kbs kweny uteuzi wa apo ofisin kwenu coz tyr wanakua wanajua life style yako kuna watu wanakosa teuzi coz wanajulikan ni wazinzi ama walevi N.K kujichoresha kwao kunawaharibia mengi san
Halafu Cha ajabu kinachofurahisha watu wengi Sana Wana wasiwasi..unaweza kumuhofia boss wako kumbe na yeye anahofu kwa wa juu yake..usikute hata makamu wa raisi anamuogopa Rais anakuwa na wasiwasi kwamba Kuna mambo yake yanamfikia Rais [emoji3][emoji3]Wasi wasi au kujishtukia ni ugonjwa mbaya sana...
Kama umesharidhika na nafas uliyonayo sio mbaya kuanika life style yako ila kama ni mtu ambae hujaridhika na nafas uliyonayo inahitajika uishi maisha ya private ili ufikiriwe na hao watu wa kitengo hawamo umo maofisi kwa ajili ya kuchunga tabia za watu wamo kwa ajili ya kuchunguz nan anafaa kwenye uteuziMkuu dunia ya Sasa mambo mengi inakuwa ngumu kuyafanya kwa Siri.. otherwise uwe unanunua pombe halafu unakunywa chumbani kwako kitu ambacho NI kigumu mtu unahitaji uka socialize na watu wengine bar huko ukachome na nyama kidogo Sasa hio ndo kitu naambiwa mtumishi hatakiwi kuwa mlevi..me naona haiwezekani kunywa chumbani.