Expert Blogger
Member
- Dec 3, 2013
- 28
- 10
Nilipobofya link ya blog yako nimepata ujumbe huu ''Samahani, blogu katika myblogpays.blogspot.com imeondolewa. Anwani hii haipatikani kwa blogu mpya''.
Kuna safari ndefu kwa watz wapate hela kwenye blogs zao kutokana na vitu kama hivi;
1. Poor blog design
2. Poor content
3. Poor traffic base
yaani ni shida
Wengi huwa wanaishia kwenye vila laki laki tofauti na wanigeria au india mtu anaendea kudraw dolar 27000 pia lugha yetu hii watu miaji wachache sana tofauti na kingereza ndo maana hatupati pesa sana
Lugha siyo tatizo, tatizo ni content na malengo, yaani sijuwi nisemaje
halafu blog nyingi wanataka waziendeshe bure kwa 100% huku wakitegemea kupata hela kwa style hiyo! mtu hawezi kununua hata domain ya elfu 25? kila mtu .blogspot with poor design and loading speed, poor content arrangement. Kuna blog chache sana unaona watu wapo serious nyingine nyingi ni vituko tu.
Pia ni mhimu mtu ajifunze namna ya kuandika, kanuni za uandishi nk
Watu wanaozungumza kiswahili ni wengi sana shida ni namna ya kuwateka, na imani hata ukiwa na watu elfu 10 tu inatosha kutengeneza hela bila hata adsense
Kwli hapo kwenye uandishi ndipo shida ttz pia google kila siku wanabadili trick za search engine siku zinazomata ni contect sio kama zamani ulikuwa ukiweka meta tags na zile costomization za link lol uko vizuri sasa ni kizungumkuti
Blog nyingi ni mapenzi, udaku na michezo. Kuna topic nyingi sana za kuandikwa ili ku-solve matatizo ya jamii inayotuzunguka
mkuu nafikiri unajua kitu ingekuwa vizuri kama ungetupatia somo ingetusaidia sana kaka mkubw
Lugha siyo tatizo, tatizo ni content na malengo, yaani sijuwi nisemaje
halafu blog nyingi wanataka waziendeshe bure kwa 100% huku wakitegemea kupata hela kwa style hiyo! mtu hawezi kununua hata domain ya elfu 25? kila mtu .blogspot with poor design and loading speed, poor content arrangement. Kuna blog chache sana unaona watu wapo serious nyingine nyingi ni vituko tu.
Pia ni mhimu mtu ajifunze namna ya kuandika, kanuni za uandishi nk
Watu wanaozungumza kiswahili ni wengi sana shida ni namna ya kuwateka, na imani hata ukiwa na watu elfu 10 tu inatosha kutengeneza hela bila hata adsense
Blog nyingi ni mapenzi, udaku na michezo. Kuna topic nyingi sana za kuandikwa ili ku-solve matatizo ya jamii inayotuzunguka
KInachonishangaza kwenye blogs zetu ni pale the same content ambazo mara nyingi ni matukio tena yasiyo hata na mvuto ndiyo utakuta kwenye blogs karibu zote... hatutaki kutengeneza contents zetu wenyewe... tunasubiria habari (in fact not content) kutoka kwenye blog moja kisha isambae kweye blogs zingine zote! Kuna mambo mengi sana ya kuandika lakini sijui ni kwanini tunategemea "copy and paste" for no reason!Blog nyingi ni mapenzi, udaku na michezo. Kuna topic nyingi sana za kuandikwa ili ku-solve matatizo ya jamii inayotuzunguka
mkuu nahitaji mawasiliano yako ili unisaidie kwenye blog yangu maana nahitaji ushauri zaidi kuuhusu uandishi
KInachonishangaza kwenye blogs zetu ni pale the same content ambazo mara nyingi ni matukio tena yasiyo hata na mvuto ndiyo utakuta kwenye blogs karibu zote... hatutaki kutengeneza contents zetu wenyewe... tunasubiria habari (in fact not content) kutoka kwenye blog moja kisha isambae kweye blogs zingine zote! Kuna mambo mengi sana ya kuandika lakini sijui ni kwanini tunategemea "copy and paste" for no reason!
Sawa, ngoja nijipange nitakuja nilete hilo somo lote ila muwepo kuchangia hoja