jINSI YA KUCHATI NA MWENZIO KUTUMIA CMD online

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
2,063
1,195
 • Kitu cha kwanza kujua ni friend's IP Address
 • njia ya pili fungua Notepad na uandike code zifuatazo

@echo off
:A
Cls
echo MESSENGER
set /p n=User:
set /p m=Message:
net send %n% %m%
Pause
Goto A

 • Baada ya kukopi kwenye Notepad then save as...mfano "Messenger.Bat"
 • then fungua CMD yako
 • Drag this file (.bat file) kwenye Command Prompt and press Enter.
 • na utaona kama hivi
7) sasa andika IP Address ya komputer unayotaka kumtumia message na press enter
then utaona ujumbe kama huu

8) Nsasa vyote kwa vyote ni kuandika message yako na kubonyaEnter.
Start Chatting.......!

DONE....ENJOY.~!!

Attachments

 • imessenger.gif
  File size
  6 KB
  Views
  154

wickerman

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
411
250
Sisemi labda haitafanya kazi, but i`m abit sceptical na its workflow, sio user friendly!
sasa mpaka huyo mtu umuombe IP yake, akupe, sasa si bora uendelee kutumia njia uliyomuombea hiyo IP maana IP zina change kila unapo connect upya!,
Man, this is a painful way to chat!:spider:
 
KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Jul 30, 2013
2,063
1,195
KAJICHO KIVULI

.
Stop reading old tricks from 1999

jitahidi kulekebisha kauli usihitaji maneno sijaandika post kwa ajili ya maneno na wa2

mpaka kufungua huu uzi inaonyesha nijinsi gani umeukubali kiaina
NB: REKEBISHA KAULI

enjoy++
 
Last edited by a moderator:

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,134
2,000
jitahidi kulekebisha kauli usihitaji maneno sijaandika post kwa ajili ya maneno na wa2
.
mpaka kufungua huu uzi inaonyesha nijinsi gani umeukubali kiaina
NB: REKEBISHA KAULI

enjoy++

.
nilikuwa najaribu kukufungua kdogo....
narudia tena STOP READING OLD TRICKS..
hzo tricks unazozitoa HACKERS ONLINE CLUB
nying ni za zaman tena zimejazana za windows XP....
achana nazo kabsaaaa
.
PAMOJA SANA KAKA
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,134
2,000
embu tupe wewe new trick

.
AFU KUMBE SIKUKUSOMA....
naona kila kona una jaza bla bla tu kwenye post zangu...
MWANZISHA THREAD KANIELEWA ILA WEWE NAONA UNA KITU ROHONI..
juu ya mimi yan hapo tu hunijui ila sijui unataka nini
SIKUJA JF KUTAKA MAMBO YA AJABU KAMA UNAYO YAANZA WEWE...
.
NIKO PEACE SANA NA NINA IELEWA VIZURI Human manipulation
HIVYO BASI NAWEZA KUJI CONTROL NA KU KU CONTROL MTU KAMA WEWE
.
over
 
Fabian the Jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
756
1,000
.
AFU KUMBE SIKUKUSOMA....
naona kila kona una jaza bla bla tu kwenye post zangu...
MWANZISHA THREAD KANIELEWA ILA WEWE NAONA UNA KITU ROHONI..
juu ya mimi yan hapo tu hunijui ila sijui unataka nini
SIKUJA JF KUTAKA MAMBO YA AJABU KAMA UNAYO YAANZA WEWE...
.
NIKO PEACE SANA NA NINA IELEWA VIZURI Human manipulation
HIVYO BASI NAWEZA KUJI CONTROL NA KU KU CONTROL MTU KAMA WEWE
.
over

Mkuu, achana nae huyo, shule zmefungwa wanasumbua sanaaa!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom