Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 804
- 956
Naomba msaada wa jinsi ya kubypass winrar protected file au kama kuna programu ya kusaidia hili tatizo.
Nimedownload movie mbili kutoka Movies Torrents - Download Free Movies Torrents, lakin wakati naextract nikaombwa password,ambayo kuipata mpaka nijaze online survey,nikaona sio shida nikaenda kujaza survey online, cha ajabu kila nikijaza sioni password wananiambia nirudi mainpage nianze upya.
Kinachoniuma hizo movie zimekula bundle ya 2.3 GB kwahiyo nimeona mpaka kieleweke.
Mwenye msaada tafadhali.