jinsi ya kuapload picha jf

jinsi ya kuapload picha jf

Jaribu ku-upload picha 1 tuone ulivyoelewa.

attachment.php



attachment.php

nimeipenda iyo, nitumie nafasi pia kuomba kujua namna ya ku-post habari,nimekuwa nikienda sehemum ya kupost naandika information na kuipost ila nikija kufungua tena kuona comment siionim post niliopost,nakosea wapi? naomba mnijuze
 
Najaribu tu....
@Pretty

sorry kumbe ni Preta
 
Last edited by a moderator:
nimeipenda iyo, nitumie nafasi pia kuomba kujua namna ya ku-post habari,nimekuwa nikienda sehemum ya kupost naandika information na kuipost ila nikija kufungua tena kuona comment siionim post niliopost,nakosea wapi? naomba mnijuze

Mkuu, Fuata hatua hizi hapa chini kama zinavyojieleza vizuri katika picha, nimepiga picha pamoja na matangazo yaliyokuwepo kwahiyo wenye matangazo hayo wanaweza kunifikiria kwa uamuzi wangu kuyajumlisha kwenye picha zangu za somo hili kwani lasivyo ningeweza kuyaondoa tu.

1. Kwanza nenda sehemu ya kupost habari yako (kumbuka post habari kwenye jukwaa husika).

attachment.php





2. Pili, mara baada ya kumaliza kuiandika au kui-paste habari yako, bonyeza
submit

attachment.php






3. Tatu, baada ya ku-submit, pandisha website kwenda juu kabisa na ubonyeze:
Tech, Gadgets & Science forum



attachment.php



Hapo utarudishwa jukwaa ulilo-post habari yako na utaiona imekuwa ya kwanza (baada ya sticky posts)


4. Unachokosea wewe mpaka usipelekwe moja kwa moja kuiona post yako mpya ni kubonyeza mshare wa kurudi nyuma/back kwenye browser kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini.

attachment.php
 

Attachments

  • moja.png
    moja.png
    55 KB · Views: 157
  • mbili.png
    mbili.png
    89.8 KB · Views: 155
  • Tatu.png
    Tatu.png
    82.4 KB · Views: 158
  • tano.png
    tano.png
    141.2 KB · Views: 150
Hahahaa JF bhana..watu wanazunguka wakati shortcut kibao zipo...hembu bonyeza JF spy.php uone mauchawi hapo!!
 
Wadau wa jf,naombakwaanayejua jinsi ya kuapload picha kutoka memory na kuziweka jamiiforum afunguke hapa.
 
Back
Top Bottom