Usikatishwe tamaa, endelea kufanya research kama sehemu huduma inahitajika weka, mbona Moshi au Arusha watu bado wanaingia internet cafe, hata mimi mwenyewe kuna wakati nazama cafe kama nataka kudownload mzigo mkubwa wenye GB nyingi kwa sababu internet ina speed nzuri sana.